Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afa maji Sikukuu ya Krismasi Tanga

Mkazi wa Pongwe jijini Tanga, Hamis Adam (17) anahofiwa kufa maji baada ya kuzama katika Bahari ya Hindi wakati akiogelea na wenzake na mwili wake haujapatikana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

JK atoa zawadi ya Sikukuu ya Krismasi

RAIS Jakaya Kikwete, ametoa kilo za mchele 1,200, lita za mafuta 220 na mbuzi 25 kwa ajili ya zawadi ya Sikukuu ya Krismasi kwa makundi maalumu.

 

10 years ago

GPL

SIKUKUU YA KRISMASI ILIVYOSHEREHEKEWA JIJINI MWANZA

Moja ya kivutio kikubwa kwa wakazi wa jiji la mwanza ambao walisherehekea Sikukuu ya Krimasi  ilikuwa ni kupiga picha pamoja na samaki huyu. Mamia ya wakazi wa jiji la mwanza wakipiga picha za kumbukumbu maeneo ya Samaki raund about ya katikati ya jiji la Mwanza.…

 

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Mwananchi

Sikukuu ya Krismasi inachosha, inafundisha au ni ratiba?

Desemba 25 kila mwaka, Wakristo ulimwenguni kote huwa na sherehe za maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2,000 iliyopita.

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAWATAKIA WATANZANIA HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI

-Airtel yawatakia Watanzania heri ya sikukuu
-Yazidi kutanua kifua kwamba ni Baba lao
Kampuni ya mitandao ya simu za mkononi ya Airtel imewaasa Watanzania wote kote nchini kulinda amani na utulivu wa nchi katika kipindi hiki cha sikukuu ikiwa ni baada ya kuwatakia heri ya Christmas na mwaka mpya. Akizungumza kwenye ofisi za makao makuu ya Airtel, Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando alisema sikukuu za Christmas...

 

11 years ago

GPL

JOH MAKINI NDANI YA DAR LIVE SIKUKUU YA KRISMASI 2013

Mwana Hip Hop Joh Makini kutoka Kundi la Weusi akiwapagawisha maelfu ya mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala - Zakheem, jijini Dar es Salaam sikukuu ya Krismasi.

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS LTD YATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA SIKUKUU YA KRISMASI

Ofisa Utawala wa Global Publishers Ltd, Soud Kivea akimkabidhi fedha mlezi wa Al Madina, Kuruthumu Yusuf.
Dereva wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eladius Banzi akishusha sehemu ya misaada hiyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani