Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIRTEL YAWATAKIA WATANZANIA HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI

-Airtel yawatakia Watanzania heri ya sikukuu
-Yazidi kutanua kifua kwamba ni Baba lao
Kampuni ya mitandao ya simu za mkononi ya Airtel imewaasa Watanzania wote kote nchini kulinda amani na utulivu wa nchi katika kipindi hiki cha sikukuu ikiwa ni baada ya kuwatakia heri ya Christmas na mwaka mpya. Akizungumza kwenye ofisi za makao makuu ya Airtel, Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando alisema sikukuu za Christmas...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Tunawatakia Watanzania heri ya Krismasi

Haleluya, Bwana amezaliwa! Hiyo, ni salamu mahsusi au maalumu ambayo waumini wa Kikristo kote duniani wanatakiana leo, inapofanyika sikukuu ya Krismasi.

 

10 years ago

Vijimambo

NGOMA AFRICA BAND YAWATAKIA HERI YA Merry X-MASS


Bendi ya Muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibu,yenye makao nchini Ujerumani ,inawatakia wadau wote popotepale MERRY X-MASS,msherehekee kwa Amani na Upendobila kusahau kusikiliza mdundo.

 

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA SIKUU YA MAULID NA HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na Kamanda  Ras Makunja yenye maskani nchini ujerumani inawatakieni kila la heri katika siku kuu ya Maulid el Nabii Muhammad(S.W.A) pia Heri ya siku kuu ya Krismasi kwa wadau wote iwena amani,upendo,furaha na mshikamano bila kusahau kupata muziki at www.ngoma-africa.com au www.reverbnation.com/ngomaafricabandjumuika nao at www.facebook.com/ngomaafricaband

 

10 years ago

Michuzi

HERI YA SIKUKUU YA PASAKA

LEO NI SIKU KUBWA SANA KWA WAKRISTO WOTE DUNIANI AMBAO WANAUNGANA PAMOJA KATIKA KUMBUKIZI YA KUFUFUKA KWA BWANA YESU KRISTO NA KUPAA MBINGUNI AMBAYO ILIITWA PASAKA. HIVYO GLOBU YA JAMII INAWATAKIA HERI NA FANAKA WADAU WOTE KATIKA SIKUKUU HII YA PASAKA.

 

11 years ago

Habarileo

JK atoa zawadi ya Sikukuu ya Krismasi

RAIS Jakaya Kikwete, ametoa kilo za mchele 1,200, lita za mafuta 220 na mbuzi 25 kwa ajili ya zawadi ya Sikukuu ya Krismasi kwa makundi maalumu.

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA PASAKA

KAMPUNI ya Global Publishers & General Enterprises Ltd wamiliki wa tovuti hii na wachapishaji wa magazeti ya Amani, Uwazi, Championi, Ijumaa na Risasi inawatakia wasomaji wake kila la heri katika kusherehekea Sikukuu ya Pasaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani