JOH MAKINI NDANI YA DAR LIVE SIKUKUU YA KRISMASI 2013
Mwana Hip Hop Joh Makini kutoka Kundi la Weusi akiwapagawisha maelfu ya mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala - Zakheem, jijini Dar es Salaam sikukuu ya Krismasi.
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL11 years ago
GPL11 years ago
GPL11 years ago
GPLMZEE YUSUF NA JAHAZI WAWASHA MOTO DAR LIVE SIKUKUU YA KRISMASI
10 years ago
GPL28 Dec
11 years ago
GPLTASWIRA MBALIMBALI ZA SHOO YA KRISMASI NDANI YA DAR LIVE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJPbn3vzwP2nrB9eZaBB1Z*Q8E9oVAkX0aE*W0EAfJfL8iL4v2JnvArII1BZVBNtKGky9KDYs5-Bv-ioRRdmB8P9/darlive3.jpg?width=650)
WATOTO WAKIJIACHIA NA PROFESA CALABASH NDANI YA DAR LIVE SIKUKUU YA IDD
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
WATOTO WALIVYOJIACHIA NA PROFESA CALABASH NDANI YA DAR LIVE SIKUKUU YA PASAKA
9 years ago
Bongo514 Nov
Unapenda kufahamu collabo ya Joh Makini na Davido imefikia wapi? Joh afunguka
![joh davido](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/joh-davido-300x194.jpg)
Kama unawasiwasi juu akiba ya collabo za kimataifa alizonazo John Simon Mseke a.k.a Joh Makini, ondoa hofu kwasababu ile collabo yake na nyota wa Nigeria, David Adedeji Adeleke a.k.a DaVIDO imeshaingizwa kwenye computer ya studio ya The Industry.
Davido anamkubali sana Joh Makini, na alithibitisha hilo September 18, 2015 alipovujisha taarifa ambayo muda wake ulikuwa bado, kuhusu yeye na rapper wa ‘Don’t Bother’, Joh Makini kufanya collabo.
Bongo5 ilipomtafuta Joh Makini wakati huo...