Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto afa kisimani Dar

MTOTO Omar Said, mwenye umri wa miaka mitatu, amekutwa amekufa baada ya kutumbukia ndani ya kisima cha maji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto atumbukia kisimani, afa

MTOTO Omari Hamduni (3) mkazi wa Keko Magurumbasi jijini Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo alisema...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mtoto afia kisimani

WATU wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti jijini Dar es Salaam, likiwemo la mtoto Susan Shadrack (2) mkazi wa Majohe Kivule aliyetumbukia kisimani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa mwaka mmoja afariki dunia baada ya kutumbukia Kisimani Mbeya

msangi rp

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi.

Na Emanuel Madafa, Mbeya

Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba  Promis Dank mkazi wa bwawani wilaya ya Chunya amefariki dunia njiani akiwa anapelekwa hospitali baada ya kutumbukia kisimani.

Tukio hilo limetokea Novemba  112  majira ya saa 12 asubuhi huko kitongoji cha Railway,  kata ya Bwawani, wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya.

Inadaiwa kuwa, mtoto huyo baada ya kutumbukia kwenye kisima hicho ambacho kilikuwa wazi, aliokolewa akiwa hai...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto afa maji

MTOTO Yunus Abijan (4) mkazi wa Keko Mwanga, Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema juzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto afa kwa kubakwa

MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa  Kijiji cha Nyangoto, wilayani Tarime, amefariki dunia baada ya kubakwa. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Justus Kamugisha, alisema jana...

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto afa kwenye sufuria ya chai

MTOTO mwenye umri wa mwaka mmoja, wilayani Bunda katika Mkoa wa Mara, amekufa baada ya kutumbukia kwenye sufuria ya chai iliyokuwa jikoni.

 

11 years ago

GPL

MTOTO AFA MAJI AKIENDA KANISANI

Stori: Dustan  Shekidele,Morogoro MTOTO Prince lsaack (10) mwanafunzi wa darasa la 5, mkazi wa Kata ya Kihonda, Maghorofani mkoani hapa, amefariki dunia wakati akiogelea mtoni na wenzake. Mwili wa Prince lsaack ukiwa unaelea majini. Prince alifikwa na mauti Jumapili iliyopita saa 7 mchana wakati akienda kanisani lakini kabla ya kufika huko waliamua kuogelea katika Mto Ngerengere bila kujua hatari iliyokuwa mbele yake.
...

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto afa kwa kuzama bondeni

KARIM Ramadhan (15), mkazi wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani, amekufa baada ya kuzama kwenye bonde la shamba la mpunga. Mtoto huyo alizama alipokuwa akicheza na wenzake, ambapo alikuwa akijaribu kuvua samaki kwenye bwawa hilo lililopo Magereza. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei alithibitisha tukio hilo. Alisema kabla ya kifo hicho, mtoto huyo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifafa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto afa maji Mto Kizinga

MTOTO Khamis Sungura (11) mkazi wa Mbagala Kiburugwa jijini Dar es Salam amefariki dunia juzi baada ya kuzolewa na maji yaliyokuwa yakitiririka kuelekea Mto Kizinga kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani