Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


17 wajeruhiwa kwa radi Mwanza

WANAFUNZI 17 wa Shule ya Sekondari ya Kabuholo wilayani Ilemela jijini Mwanza, wamejeruhiwa na radi. Tukio hilo limetokea jana asubuhi ambapo radi iliwapiga wanafunzi 15 wa kidato cha nne, mmoja...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RADI YAUA WATU WANNE, WENGINE 27 WAJERUHIWA WAKIWA KWENYE MTUMBWI WILAYANI UKEREWE


Na Mwandishi Wetu, Mwanza

WATU wanne wameripotiwa kufariki Dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa kwenye mtumbwi waliokua wakisafiria katika Ziwa Victoria wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.

Akizungunza leo kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Muliro Jumanne amesema lilitokea  Juni 23 mwaka huu ,saa mbili asubuhi katika Kitongoji cha Busele kilichopo Kata ya Bubiko wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.

Kamanda Muliro amesema mtumbwi huo wa abiria unaojulikana kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Radi yawajeruhi wanafunzi 17 Wilayani Ilemela jijini Mwanza

Wanafunzi 17 wa Shule ya Sekondari Kabuholo wilayani Ilemela jijini Mwanza, wamejeruhiwa na radi kufuatia mvua kubwa ilioyonyeshwa jijini humo kwa saa moja.Tukio hilo lilitokea jana saa 1.45 asubuhi wakati radi hiyo ilipowapiga wanafunzi wa kidato cha nne 15, mmoja kidato cha tatu na mwingine kidato cha kwanza.

Akizungumza na mwandishi wetu jana, Mwalimu wa mazingira wa shule hiyo, Humphrey Massawe, alisema tukio hilo lilitokea wakati wanafunzi hao wakiwa darasani huku mvua kubwa
ikiendelea...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT; WALIOFARIKI KWA RADI MKOANI KIGOMA WAAGWA KWA MAZISHI MCHANA HUU.

  Miili ya Wanafunzi sita na Mwalimu ikiwa tayari kwa kuagwa katika viwanja vya shule ya Msingi Kibirizi mkoani Kigoma .  WATU wanane wakiwemo wanafunzi sita na mwalimu wa shule ya msingi kibirizi mmoja pamoja na mtu wa kawaida mkazi wa eneo la Bangwe mjini hapo  walipoteza maisha hapo jana baada ya kupigwa na radi huku wanafunzi wengine 15 kujeruhiwa na radi hiyo.
  Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Kanali Mstaafu Issa Machibya akisoma salamu za rambi rambi za mkoa wakati wa kuaga miili ya Wanafunzi na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Afa kwa radi akienda kilabuni

MKAZI wa kitongoji cha Ngena, wilayani hapa, Watsoni Mwakiposa (80) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi akielekea kwenye kilabu cha pombe. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Ofisa Mtendaji...

 

10 years ago

GPL

WALIOFARIKI KWA RADI MKOANI KIGOMA WAAGWA

Miili ya wanafunzi sita, Mwalimu mmoja na mkazi wa eneo la Bangwe ikiwa tayari kwa kuagwa katika viwanja vya shule ya Msingi Kibirizi mkoani Kigoma. Wanajeshi wa JWTZ wakiingiza miili ya marehemu katika viwanja vya shule ya msingi Kibirizi kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho. Watu wanane wakiwemo wanafunzi sita wa shule ya msingi Kibirizi, mwalimu mmoja pamoja mkazi wa eneo la Bangwe mjini hapo walipoteza maisha hapo jana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mama, mtoto wafa kwa radi Mpanda

MAMA na mtoto wake, wakazi wa Kijiji  cha Mnyagala,  Tarafa ya Kabungu, Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa njiani  kuelekea nyumbani kwao. Waliokufa...

 

10 years ago

Mwananchi

Miili minane ya waliofariki dunia kwa radi yaagwa

Vilio na simanzi jana vilitawala katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wakati salamu za mwisho zikitolewa kwa miili ya watu wanane waliofariki dunia juzi kwa kupigwa na radi.

 

10 years ago

StarTV

Watu wanane wafariki, 15 kujeruhiwa kwa Radi Kigoma.

Na Richard Katunka,

Kigoma.

 

Watu wanane wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi kwenye mvua kubwa iliyonyesha mjini Kigoma kwa saa tatu.

 

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma Maweni Dokta Fadhili Kibaya amewataja waliofariki kuwa ni pamoja na Yusuf Athuman, Hassan Ally, Fatuma Sley, Zamda Seif, Shukrani Yohana na Warupe Kapupa ambao ni wanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Kibirizi.

 

Mwalimu aliyefariki ametambuliwa kwa jina la...

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wauawa kwa risasi, sita wajeruhiwa

Watu wawili akiwamo mwanafunzi wa kidato cha tatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na kundi la watu wanne waliokuwa wakitumia silaha aina ya SMG na SAR katika Kijiji cha Alidonyowassu, Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani