Mwanafunzi afa kwa kunyongwa
Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kivesa wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, Isiyaka Beda (14) amefariki dunia baada ya kunyongwa na kuvunjwa shingo na watu wanaodaiwa kuwa ni wezi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi15 May
Mtu mmoja afa kwa kunyongwa na watu wasiojulikana mkoani Pwani
MLINZI Bakari Mape (70) mkazi wa Mlandizi wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani ameuwawa kwa kunyongwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.
Watu hao ambao idadi yao haikuweza kufahamika mara moja walimwua mlinzi huyo kwa kumvunja shingo kisha kuiba kwenye duka ambalo mlinzi huyo alikuwa akililinda.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani humo Kamishna Mwandamizi Msaidizi (SACP) Ulrich Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 14 mwaka huu...
10 years ago
CloudsFM27 Nov
MTUHUMIWAWA MAUAJI YA MWANAFUNZI WA TEKU AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA.
ASKARImmoja kati ya watatu waliokuwa wakituhumiwa kwa mauaji kwa aliyekuwa mwanafunziwa Chuo kikuu TEKU, amehukumiwa kunyongwa hadi kufa huku wenzie wakiachiwahuru.
Hukumuhiyo ilitolewa katika Mahakama kuu kanda ya Mbeya na Jaji Rose Temba baada yakuridhishwa na ushahidi wa pande zote mbili uliotolewa mahakamani hapo kwanyakati tofauti.
Mwendeshamashtaka wa Serikali, Archiles Mulisa akisaidiwa na Catherine Paul aliwatajawashtakiwa kuwa aliyehukumiwa ni Askari polisi F5842DC Maduhu na...
10 years ago
BBCSwahili06 May
Wafghan 4 kunyongwa kwa mauaji
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Watanzania 35 kunyongwa China kwa mihadarati
VIJANA Watanzania 403 wamekamatwa katika nchi mbalimbali kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya katika kipindi cha mwaka 2008 hadi 2014, kati yao 35 wamehukumiwa kifo nchini China. Akizungumza...
11 years ago
BBCSwahili26 Feb
Watu 26 kunyongwa Misri kwa Ugaidi
10 years ago
Habarileo02 Jul
Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua albino
MKAZI wa Kiwira, wilayani Rungwe, Hakimu Mwakalinga ambaye aliwahi kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kukutwa na hatia ya kumuua Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Rungwe, John Mwakenja, amehukumiwa adhabu hiyo kwa mara nyingine baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mlemavu wa ngozi (albino).
11 years ago
BBCSwahili15 May
Mwanamke kunyongwa kwa kuasi dini Sudan