Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi walevi wa gongo, viroba

MKUU wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga ameelezea hofu yake ya tishio la kukosekana kwa nguvu kazi wilayani humo kutokana na kukithiri kwa wimbi la ulevi, hasa wanafunzi wakiwemo wa shule za msingi wanaodaiwa kunywa kwa kiasi kikubwa pombe aina ya gongo na nyingine za `viroba’.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VIROBA SI CHAI!

NI AIBU! Ndivyo unavyoweza kushangaa baada ya mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kunywa pombe kiasi cha kupoteza fahamu akiwa na sare za taasisi hiyo inayoheshimika nchini na kujikuta akilala karibu na mtaro, katika stendi kuu ya mabasi mjini Iringa. Anayedhaniwa kuwa mwananjeshi akiwa amelala kwenye mtaro. Habari kutoka eneo la tukio zinasema mtu huyo alipanda basi liitwalo Mgumba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Taifa likiendeshwa na walevi?

“WALIOSEMA mimi ni waziri mzigo, wasubiri waone kazi yangu.” Haya ni maneno yaliyotolewa na waziri wetu wa fedha, Saada Mkuya, mapema mwaka huu wakati alipoapishwa kushika nafasi hiyo iliyoachwa wazi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sokwe ni walevi Hodari :Utafiti

Watafiti waliokuwa wakiwachunguza sokwe nchini Guinea kwa miak 17 wamegundua kuwa wanyama hao wamezoea kukwea minazi na kubugia mvinyo

 

11 years ago

Mwananchi

Wachezaji walevi Yanga kukiona

Katibu Mkuu wa Yanga, Benno Njovu amekemea tabia ya baadhi wa wachezaji wa timu yake kuendeleza unywaji pombe na uvutaji wa sigala.

 

11 years ago

BBCSwahili

Walevi wajanja wa Nairobi, Kenya

Madereva walevi nchini Kenya wamebuni njia za kufika nyumbani huku wakikwepa kifaa cha 'Alcoblow' kinachotumiwa na polisi kuwanasa

 

11 years ago

Tanzania Daima

Afa kwa kuzidisha viroba

MKAZI wa Kijiji cha Ibindi, Tarafa ya Nsimbo, wilayani Mlele, Michael Silanda (26), amefariki dunia baada ya kunywa pombe za viroba aina ya Zed kupita kiasi bila kula. Kamanda wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kilimanjaro kinara wa pombe ya viroba

> Utafiti mpya umebaini kuwa wakazi wa Mkoa wa Kilimanjaro wanaongoza kwa unywaji wa pombe  hasa ya  viroba,  ikiwa ni mara nne zaidi ya wakazi wanaokunywa pombe katika mikoa ya Mwanza na Geita.

 

10 years ago

Mtanzania

Snura akwepa ‘viroba’ stejini

snura1NA RHOBI CHACHA

KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii wa filamu na muziki, Snura Mushi, alijikuta akirushiwa pombe zilizokuwa katika vifuko vidogo maarufu viroba akiwa jukwaani kama njia ya kumshangilia kwa uchezaji wake.

Snura alipanda jukwaani na kuimba wimbo wake ulioshika chati nchini wa ‘Nimevurugwa’ katika onyesho la miaka 16 ya msanii Juma Nature lililofanyika katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini.

Snura akiwa jukwaani, shabiki mmoja alimfuata na kumtunza kiroba kisha idadi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi: Tatizo la viroba ni TRA

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kagera, George Mayunga, amesema watumishi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) mkoani hapa wanashirikiana na wafanyabiashara wa pombe kali aina ya viroba wanaokwepa kodi. Kauli ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani