Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi: Tatizo la viroba ni TRA

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kagera, George Mayunga, amesema watumishi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) mkoani hapa wanashirikiana na wafanyabiashara wa pombe kali aina ya viroba wanaokwepa kodi. Kauli ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TRA Kagera yailalamikia polisi

MAMLAKA ya Mapato (TRA) Mkoa wa Kagera imesema baadhi ya askari polisi wanakwamisha utendaji wao jambo linalowafanya wakose imani nao katika kazi. Akizungumza na Tanzana Daima ofisini kwake hivi karibuni,...

 

10 years ago

Michuzi

TRA NA JESHI LA POLISI WATOA ONYO


 Bw. Rished BADE, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akiongea na wanahabari. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kamishna wa Polisi, Afande Isaya Mngulu, na kulia kwake ni Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA Bw. Richard Kayombo

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi, TRA wavutana wakwepaji wa kodi

Sakata la wafanyabiashara haramu wa viroba Mkoa wa Kagera limeingia kwenye sura mpya, baada ya polisi mkoani hapa kudai kuwa watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wanashirikiana na wafanyabiashara wa pombe hizo kukwepa kodi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mangu aingilia kati sakata la TRA, Polisi

Sakata la wakwepa kodi mkoani Kagera limechukua sura mpya baada ya Mkuu wa Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu kumuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, George Mayunga kuwachunguza na kuwatia mbaroni askari wanaotuhumiwa kushirikiana na wafanyabiashara wa pombe kali maarufu viroba wanaokwepa kodi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tatizo ni kubwa ndani ya Jeshi la Polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wiki iliyopita  limewafukuza kazi askari wake wanne kwa makosa ya utovu wa nidhamu, ikiwemo kujihusisha na vitendo vya ujambazi. Kwa mujibu...

 

10 years ago

Mwananchi

Nafahamu tatizo la mishahara ya polisi - IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu amesema anatambua suala la kutobadilishwa mishahara ya baadhi ya watumishi wake na kwamba, jambo hilo ni miongoni mwa ajenda anazozifanyia kazi kwa sasa.

 

10 years ago

CloudsFM

IGP Mangu-Nafahamu tatizo la mishahara ya polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu amesema anatambua suala la kutobadilishwa mishahara ya baadhi ya watumishi wake na kwamba, jambo hilo ni miongoni mwa ajenda anazozifanyia kazi kwa sasa.
IGP Mangu alitoa ufafanuzi huo jana wakati akizungumza na gazeti hili baada ya kuwapo malalamiko kutoka kwa baadhi ya askari wa jeshi hilo kupandishwa vyeo, huku mishahara yao ikiendelea kubaki kama ilivyokuwa zamani.

“Nimezunguka nchi nzima na kuzungumza na askari kuhusu jambo hili,” alisema...

 

10 years ago

Vijimambo

"Kuna Tatizo gani Lipumba Kupigwa Nawapongeza sana Polisi kwa Kumpiga"Hii ni kauli ya Lusinde Bungeni

Kulikuwa na mvutano mkali sana bungeni wakati wabunge wakijadili hoja ya Lipumba kupigwa. Hapo chini nimekuwekea michango ya Lusinde na Sadifa waliyoitoa Bungeni:Lusinde: Kwani kupigwa Lipumba ndiyo tatizo, wamepigwa viongozi wangapi hapa, Lipumba siyo wa kwanza kupigwaLusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe, ndiyo nzuri hiyo, siyo wapigwe wengine, kupigwa kazini ndiyo sawa
Lusinde: Bunge linapokwenda mwishoni wabunge wenye hali mbaya majimboni...

 

10 years ago

GPL

VIROBA SI CHAI!

NI AIBU! Ndivyo unavyoweza kushangaa baada ya mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kunywa pombe kiasi cha kupoteza fahamu akiwa na sare za taasisi hiyo inayoheshimika nchini na kujikuta akilala karibu na mtaro, katika stendi kuu ya mabasi mjini Iringa. Anayedhaniwa kuwa mwananjeshi akiwa amelala kwenye mtaro. Habari kutoka eneo la tukio zinasema mtu huyo alipanda basi liitwalo Mgumba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani