Polisi, TRA wavutana wakwepaji wa kodi
Sakata la wafanyabiashara haramu wa viroba Mkoa wa Kagera limeingia kwenye sura mpya, baada ya polisi mkoani hapa kudai kuwa watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wanashirikiana na wafanyabiashara wa pombe hizo kukwepa kodi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Wamiliki wa viwanja Moshi wahaha kuviuza, wavutana kodi na TRA
9 years ago
StarTV04 Dec
Rais Magufuli atoa siku saba kwa wafanyabiashara wakwepaji kodi
Rais John Magufuli ametoa siku saba kwa wafanyabiashara waliokuwa wamekwepa kulipa kodi kwa namna yoyote ile kuhakikisha wamelipa malimbikizo yao ndani ya siku hizo badala ya kuendelea kuficha makontena.
Amesema baada ya siku hizo saba kuisha, wafanyabiashara watakaokamatwa hawajalipa kodi kwa mujibu wa taratibu watachukuliwa hatua za kisheria ili kukomesha vitendo hivyo kwa manufaa ya Taifa.
Rais wa awamu ya Tano, Dkt John Magufuli ametoa wito kwa wafanyabiashara kutoka sekta binafsi na...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…
Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa kutoka kwa […]
The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Polisi, Ukawa wavutana Zanzibar
10 years ago
Mwananchi22 Nov
TRA yalia na misamaha ya kodi
10 years ago
Habarileo08 Dec
TRA: Tutawatupa jela wakwepa kodi
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), Rished Bade amesema hakuna mtu aliye juu ya sheria ya ulipaji kodi halali, hivyo asiyetaka kulipa kodi kwa makusudi lazima atakutana na mkono wa sheria na kutupwa jela.
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Kodi ya TRA yazua kizaazaa Bakwata
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi, ameunda timu ya uchunguzi ambayo itapitia upya mikataba yote mibovu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata).
Pamoja na hali hiyo pia ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Utawala wa Bakwata, Makao Makuu, Karim Majaliwa kupisha uchunguzi juu ya kadhia ya magari 82 na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Mufti Zuberi ilieleza...
9 years ago
Mwananchi07 Dec
TRA yaibana Bakwata msamaha wa kodi
9 years ago
Habarileo07 Jan
Makusanya ya kodi TRA yafikia trilioni 1.4/
MAMLAKA ya Mapato (TRA) imeshakusanya Sh bilioni 11.9 kutoka kwa wafanyabiashara waliokuwa wamekwepa kulipa kodi. Kiasi hicho ni sehemu ya Sh bilioni 80 zinazotakiwa kukusanywa kutoka kwa wafanyabiashara hao wanaodaiwa waliondosha kontena katika bandari za nchi kavu kinyume cha taratibu za forodha.