Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi, Ukawa wavutana Zanzibar

Jeshi la Polisi limepiga marufuku kufanyika kwa mkutano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi(Ukawa) uliotarajiwa kufanyika leo mjini Zanzibar kwa madai ya kiusalama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Polisi yawapiga ‘stop’ tena Ukawa Zanzibar

Jeshi la Polisi Zanzibar limeendelea kuuchelewesha mkutano wa wanachama wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwa madai kwamba hakuna askari wa kutosha kuulinda.

 

10 years ago

Mwananchi

KURA YA MAONI: Ukawa wavutana Dar

>Kitendo cha Chama cha Wananchi (CUF) kufanya uchaguzi wa Kura za Maoni katika majimbo ya Kawe na Ubungo yanayoshikiliwa na wabunge wa Chadema, kimeibua hisia tofauti miongoni mwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wavutana mgombea ubunge Nzega Vijijini

Ziara ya Mgombea mwenza urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Ukawa, Juma Duni Haji imeingia dosari baada ya viongozi na wafuasi wa vyama hivyo ndani ya jimbo la Nzenga Vijijini kutoridhiana mgombea atakayewakilisha jimbo hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi, TRA wavutana wakwepaji wa kodi

Sakata la wafanyabiashara haramu wa viroba Mkoa wa Kagera limeingia kwenye sura mpya, baada ya polisi mkoani hapa kudai kuwa watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wanashirikiana na wafanyabiashara wa pombe hizo kukwepa kodi.

 

10 years ago

Mtanzania

CCM, CUF wavutana vurugu Zanzibar

baloz Seif IddNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) umelaani na kusikitishwa na kauli za viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kuitupia lawama CCM kwa kudai imehusika katika kushambuliwa wafuasi wao.
Wakati CCM wakitoa kauli hiyo, CUF kimemtupia lawama Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), Balozi Seif Ali Idd kuwa ndiye amekuwa akitoa kauli za kuchochea vurugu visiwani humo.
Taarifa ya UVCCM Zanzibar kulaani matamshi hayo ilitolewa jana kwa vyombo vya habari na...

 

10 years ago

Vijimambo

Hali ya Gwajima bado tete, Polisi, waumini wavutana hospitali inayofaa

Askofu wa Kanisa la Ufufuko na Uzima, Josephat Gwajima akiwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), hospitali ya TMJ ya jijini Dar es Salaam jana.
Wakati hali ya kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa tete kwa siku mbili mfululizo, Jeshi la Polisi na waumini wa Askofu huyo wanadaiwa kuvutana hospitali inayofaa kumpa matibabu.

Askofu Gwajima, alizimia ghafla juzi majira ya saa 2: 45 usiku akiwa kwenye chumba cha mahojiano katika Kituo cha Polisi Kati, baada...

 

10 years ago

Mwananchi

Vyama vya CCM, CUF wavutana kura ya maoni Zanzibar

Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema kitafanya kampeni maalumu kuhakikisha kura ya maoni ya Katiba ya Muungano inashinda Zanzibar, Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kinajipanga kufanya kampeni nzito kupinga rasimu hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi wavunja mkutano wa UKAWA

JESHI la Polisi jana limevunja mkutano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa madai kuwa wanasambaza CD za uchochezi. Kuvunjwa kwa mkutano huo kunatokana na askari zaidi ya 20...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani