Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hali ya Gwajima bado tete, Polisi, waumini wavutana hospitali inayofaa

Askofu wa Kanisa la Ufufuko na Uzima, Josephat Gwajima akiwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), hospitali ya TMJ ya jijini Dar es Salaam jana.
Wakati hali ya kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa tete kwa siku mbili mfululizo, Jeshi la Polisi na waumini wa Askofu huyo wanadaiwa kuvutana hospitali inayofaa kumpa matibabu.

Askofu Gwajima, alizimia ghafla juzi majira ya saa 2: 45 usiku akiwa kwenye chumba cha mahojiano katika Kituo cha Polisi Kati, baada...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

STRABAG BADO HALI TETE

Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi ‘STRATBAG’ wakiwa katika mgomo. HALI bado si shwari katika kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi ‘STRABAG’ iliyopo maeneo ya Ubungo jijini Dar, ambapo asubuhi hii Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wametanda eneo la ofisi hizo na hakuna mfanyakazi yeyote wa kawaida anayeruhusiwa kuingia ndani. Mgomo huo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali bado ni tete Burundi

Polisi waaminifu kwa rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza wanaendelea na misako dhidi ya watu wanoshukiwa kuwa ''wasaliti''

 

10 years ago

BBCSwahili

Hong Kong bado hali tete

mamia ya waandamanaji wa Hong Kong wanaendelea na maandamano kwa siku ya nne na kudhoofisha maeneo muhimu ya jiji hilo .

 

10 years ago

GPL

BADO HALI NI TETE KWA PISTORIOUS

Mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius (kulia) akiwa na mpenzi wake, Reeva Steenkamp enzi za uhai wake. Kesi ya mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius inaendelea leo siku ya nne mahakama kuu mjini Pretoria, Afrika Kusini chini ya Jaji, Thokozile Masipa huku wakili wa Pistorious, Barry Roux akiendelea kujenga hoja kibao za kumtetea Pistorious. Wakili wa Pistorious, Barry Roux… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hali bado tete mjini Mandera

Inaarifiwa kuwa idadi kubwa ya wafanyakazi wa serikali wanaoishi katika eneo hilo wameanza kulihama kwa hofu ya usalama wao.

 

11 years ago

GPL

NDEGE INAYOHOFIWA KUZAMA BAHARINI, HALI BADO TETE

Vikosi vya uokoaji kutoka nchini China vikielekea eneo inapodaiwa kuzama ndege ya Malaysia aina ya Boeing 777. Meli ya ulinzi ya Vietnam ikiwa kisiwa cha Phu Quoc inapohofiwa kuzama ndege hiyo.…

 

9 years ago

Michuzi

HALI YA KIPINDUPINDU MOROGORO BADO TETE IDADI YA WAGONJWA YAONGEZEKA.


Hali ya ugonjwa wa kipindupindu mkoani Morogoro imeendelea kuwa tete baada ya idadi ya wagonjwa wa kipindupindu kungezeka hadi  kufikia wagonjwa 45 ambao wanaendelea na matibabu katika kambi maalum katika hospitali ya sabasaba mjini Morogoro.
 Akizungumza na mtandao huu afisa afya mkoa wa Morogoro Carlesilas Lyimo amesema kutokana na kasi ya ongezeko la kipindupindu maafisa afya wamefanya operesheni katika maeneo mbalimbali yanayotoa huduma za chakula na vinywaji na kufanikiwa kukamata na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani