Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makusanya ya kodi TRA yafikia trilioni 1.4/

MAMLAKA ya Mapato (TRA) imeshakusanya Sh bilioni 11.9 kutoka kwa wafanyabiashara waliokuwa wamekwepa kulipa kodi. Kiasi hicho ni sehemu ya Sh bilioni 80 zinazotakiwa kukusanywa kutoka kwa wafanyabiashara hao wanaodaiwa waliondosha kontena katika bandari za nchi kavu kinyume cha taratibu za forodha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yapoteza Sh3 trilioni za kodi

Utafiti mpya umebaini kuwa Tanzania inapoteza zaidi ya Sh3 trilioni kila mwaka kutokana na ukwepaji kodi unaofanywa na kampuni za uchimbaji madini na katika uingizaji bidhaa na kuuza nje.

 

9 years ago

Mwananchi

TRA kukusanya Sh12.3 trilioni mwaka huu

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),  Rished Bade amesema mamlaka hiyo imejipanga kukusanya zaidi ya Sh12.3 trilioni  katika mwaka huu wa fedha.

 

10 years ago

Mwananchi

TRA yakusanya Sh10 trilioni kila mwaka

>Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema inakusanya Sh10 trilioni  ikiwa ni makusanyo ya kodi kila mwaka tangu mwaka 2001.

 

9 years ago

Michuzi

TRA YAVUKA LENGO YAKUSANYA TRILIONI 1.4 KWA MWEZI

 kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka Tanzania (TRA) (Katikati) Alphayo Kidata akisisitiza jambo wakati alipofanya mazungumzo na waandishi wa habari kuhusu taarifa za ukusanyaji wa mapato wa kila mwezi Kushoto ni Kaimu Kamishna wa Forodha Jocktan Kyamuhanga na kulia  ni Kaimu Kamishna wa Kodi za Ndani Yusufu Salum .
 Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka Tanzania (TRA) (Katikati) Alphayo Kidata akizungumza na waandishi wa Habari wakati akitoa taarifa za ukusanyaji wa mapato wa kila mwezi.Picha Na...

 

9 years ago

Global Publishers

TRA yavuka lengo la kusanya Trilioni 1.4 kwa mwezi

IMG_0614 Kaimu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Alphayo Kidata.

Jumla ya shilingi trilioni 1.4 imekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha mwezi Desemba mwaka uliopita wa 2015.

Kiasi hicho ni sawa na ongezeko la wastani wa shilingi bilioni 490 kwa mwezi ukulinganisha na wastani wa makusanyo ya kuanzia Julai hadi Novemba ambapo ,TRA ilikuwa imekusanya wastani wa shilingi bilioni 900 kwa mwezi.

Takwimu hizo zimetolewa leo jijini Dar es salaam na Kaimu Kamishna Mamlaka ya...

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Aipongeza TRA Kukusanya Trilioni 1.3 kwa Mwezi Mmoja

MagufuliRais Dkt John Pombe Magufuli.

Rais Magufuli amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa mapato inayofanywa na mamlaka hiyo ambayo imeongeza ukusanyaji wa Mapato na kwa mara ya kwanza mwezi huu ukusanyaji wa mapato hayo unatarajiwa kuwa zaidi ya shilingi trilioni 1.3

Kutokana na mafanikio hayo amewahakikishia watanzania kuwa fedha kwa ajili ya kutimiza ahadi ya kutoa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari ambazo ni...

 

10 years ago

Mwananchi

TRA yalia na misamaha ya kodi

>Misamaha ya kodi imekuwa ikilikosesha taifa zaidi ya Sh100 bilioni kwa mwezi, hatua ambayo Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) inaona ni kikwazo katika kufikia malengo ya ukusanyaji kodi.

 

9 years ago

Mwananchi

TRA yaibana Bakwata msamaha wa kodi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa masharti matano kwa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), yanayotakiwa kutekelezwa kabla kupewa msamaha wa kodi kwa gari aina ya Iveco ulioombwa.     

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani