Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROFESA JAY AKIFANYA YAKE STEJINI

Mkongwe wa Hip hop nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' akifanya makamuzi ya hatari ndani ya Leaders Club.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Profesa Jay afungua website yake rasmi (official website)

Profesa Jay ameingia kwenye list ya wasanii wa Tanzania ambao wameona haja na umuhimu wa kufungua website zao, kwa kuanzisha website yake www.profesajay.com ambayo itakuwa inaweka matukio mbalimbali yanayohusu kazi zake, na kurahisisha upatikanaji wa habari zake, nyimbo pamoja na video zake. “Nimeamua kuwa na website yangu kuzidi kujitengeneza, kujipackage na mtu aweze kukufikia kirahisi… […]

 

11 years ago

GPL

SHAA AKIFANYA YAKE FIESTA 2014

 Msanii wa Bongo Flava, Shaa akifanya yake usiku huu kwenye tamasha la Fiesha 2014 Leaders Club, Dar.…

 

11 years ago

GPL

PROFESA JAY NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Profesa Jay akiwa katika pozi ndani ya Global TV tayari kwa mahojiano usiku huu. Profesa Jay akiwa na mtangazaji wa Global TV Online, Luqman Maloto (kulia). MKALI wa Hip hop nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' muda huu yupo ndani ya Global TV tayari kwa mahojiano ya mambo mbalimbali ya muziki, maisha, siasa na mengineyo mengi. Mohojiano hayo… ...

 

10 years ago

GPL

PROFESA JAY APASUA ANGA MIKUMI

Stori: Sifael Paul
Katika harakati za kulinyakua Jimbo la Mikumi wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro kwa tiketi ya chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule almaarufu Profesa Jay (pichani) ameendelea kupasua anga kwenye jimbo hilo akifungua matawi mapya na kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Profesa Jay akiwa na Joseph...

 

9 years ago

Habarileo

Profesa Jay amfagilia Rais Magufuli

MBUNGE wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Joseph Haule maarufu ‘Profesa Jay’, amempongeza Rais John Magufuli, kwa kusikia kilio cha wasanii na kuunda Wizara ya Habari iliyozingatia masuala ya Utamaduni, Wasanii na Michezo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Profesa Jay alia wasanii wanavyoibiwa

MKALI wa hip hop nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, ameonyesha kuendelea kuumizwa na wizi wa kazi za wasanii, huku akidai mamlaka husika zimeshindwa kutatua tatizo hilo. Profesa Jay kupitia ukurasa...

 

9 years ago

Mtanzania

PROFESA JAY aipeleka ‘Mwanalizombe’ Mikumi

JAYNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII na Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, amesema ana mpango wa kuihamishia studio ya Mwanalizombe kwenye jimbo lake ili aweze kutekeleza ahadi ya kuinua sanaa. Akizungumza na MTANZANIA, Profesa Jay alisema kuwa moja ya ahadi alizowaahidi

wakazi wa Mikumi kwenye kampeni zake ni kuibua vipaji vipya ndiyo maana ameamua kuihamishia studio hiyo huko ili aweze kutekeleza ahadi hiyo.

“Mikumi kuna vipaji vingi vya muziki lakini hakuna aliyeweza kuviibua...

 

10 years ago

CloudsFM

Kumbe Dully alipata taarifa za kifo cha baba yake akijiandaa kupanda stejini kufanya shoo

Habari zinasema kuwa msanii wa Bongo Fleva,Dully Sykes alipata taarifa za msiba wa baba yake wakati akijiandaa kupanda stejini kwenye shoo moja iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii maeneo ya Mbezi Luis,jijini Dar.

Kwa mujibu wa muandaaji wa shoo hiyo aitwaye Ney Steve alipost picha kwenye mtandao wa Instagram akimbembeleza Dully baada ya kupata taarifa hizo hivyo kushinda kupanda jukwaani. Picha hiyo iliambatana na maneno haya.. ney_steve Wakat unapanga lako Mungu nae anapanga lake.....Leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani