Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usifanye biashara tu, ipangilie kitaalamu

Mpango wa biashara ni roho ya biashara, kwani ndiyo unaoonyesha dira ya biashara husika. Katika biashara tunasema bila kuwa na mipangilio inayoeleweka, hakuna mafanikio yatakayoonekana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Wajasiriamali waaswa kuendesha biashara zao kitaalamu.

Na Amina Saidi, Mbeya.

Wajasiriamali nchini wametakiwa kujifunza mbinu za kuendesha biashara zao kitaalamu ili kukuza mitaji.

Hatua hiyo itazijafanya biashara hizo kuwa endelevu na zenye tija.

Ni katika uzinduzi wa kitabu cha Mjasiriamali kinacholenga kutoa elimu itakayowasaidia wajasiriamali wadogo na wa kati kukuza mitaji ya biashara zao kitaalamu badala ya kuendesha biashara za kuiga ama kufuata mkumbo ambazo mara nyingi si endelevu.

Mtunzi wa kitabu hicho mjasiriamali mdogo...

 

11 years ago

Mwananchi

Usifanye makosa haya unapoajiriwa

Ikiwa wewe ni mwajiriwa mpya au ni mkongwe katika ajira, inabidi utambue kuwa kuna baadhi ya makosa hutakiwi kuyafanya mahali pa kazi kwa ajili ya mustakabali wako.

 

9 years ago

Mwananchi

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: USIFANYE MAKOSA, HUU NDIO UTARATIBU WA KUNUNUA NYUMBA ILIYOWEKWA REHANI/DHAMANA BENKI

Na   Bashir  Yakub
Nimewahi kuandika  mara  kwa  mara  kuhusu  utaratibu  mzuri  wa  kumwezesha  mtu kununua nyumba  huku  akiwa ameepuka  mgogoro. Nilitahadharisha  sana  kuhusu  migogoro  ya  ardhi  ambayo  sasa  imekuwa  janga  la  kitaifa  hapa  kwetu. Nakumbuka  moja  kati  ya  mambo  niliyoeleza   ni  kuwa utaratibu  wa  manunuzi  ya  nyumba/viwanja unatofautiana.Nikasema kwamba  tofauti  zake  zinatokana  na  ukweli  kuwa   kila  nyumba  ina mazingira  yake. Hata  hivyo sikusema...

 

11 years ago

Mwananchi

Dengue itibiwe kitaalamu, si vinginevyo

Nchi yetu inapita katika kipindi kigumu wakati huu kutokana na ugonjwa wa homa ya dengue ambao awali ulidhaniwa kuikumba Dar es Salaam, lakini sasa umeenea katika maeneo mengi.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuanzisha bodi ya kitaalamu ya walimu

SERIKALI imeamua kuanzisha bodi ya kitaalamu ya walimu Tanzania katika mwaka ujao wa fedha, itakayosimamia masuala ya walimu, ikiwemo usajili, uendelezaji wa walimu na maadili ya kazi ya ualimu.

 

10 years ago

Vijimambo

MWAKALEBELA: WANASIASA TUSIINGILIE KAZI ZA KITAALAMU

Mkuu wa Wilaya wa Wanging’ombe, mkoani Njombe Frederick Mwakalebela akifungua warsha ya kujifunza kwa pamoja juu ya utekelezaji wa mpango wa usimamizi na matumizi endelevu ya rasilimaliza maji (UMURAME) iliyoandaliwa na Bodi ya Maji Bonde la Rufiji kwa kushirikiana na Shirika la WWF Tanzania iliyofanyika mkoani Njombe jana. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)Mkuu wa Wilaya wa Wanging’ombe, mkoani Njombe Frederick Mwakalebela (wa tatu kushoto walioketi) akiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya...

 

9 years ago

StarTV

Viroba 17 vya bangi yakamatwa yakisafirishwa kitaalamu

Polisi Ruvuma yakamata magunia 17 ya bangi Polisi mkoani Ruvuma imefanikiwa kukamata Magunia 17 ya Bangi yakiwa na uzito wa kilo 340.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Revocatus Malimi amesema magunia hayo ya Bangi yamekamatwa katika Kata ya Subira yakiwa kwenye Gari lenye namba za usajili T588 BBJ ambapo Dereva na wenye mizigo wamelitelekeza gari hilo.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Revocatus Malimi amesema baada ya kupata taarifa kwa Wasamaria wema walitoa tarifa ya...

 

10 years ago

Michuzi

waalimu pemba katika warsha ya usomeshaji na utungaji mitihani kitaalamu

 WASHIRIKI ambao ni waalimu wa vyuo mbali mbali kisiwani Pemba, kikiwemo chuo cha amali Vitongoji Chakechake, wakimsikiliza Afisa wa mafunzo ya amali Pemba, mwalimu Othuma Zaidi Othaman wakati akielezea umuhimu wa mafunzo kwa waalimu hao, juu ya namna ya kuandaa mitihani kwa njia ya kisasa  MRATIBU wa Mamlaka ya mafunzo ya amali Pemba mwalimu Juma Suleiman, akimkabidhi mmoja wa waalimu wa vyuo mbali mbali ambao wamemaliza mafunzo yao ya siku kumi ya kuwapa mbinu waalimu ya usomeshaji na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani