Usifanye makosa haya utaharibu kura yako
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 May
Usifanye makosa haya unapoajiriwa
Ikiwa wewe ni mwajiriwa mpya au ni mkongwe katika ajira, inabidi utambue kuwa kuna baadhi ya makosa hutakiwi kuyafanya mahali pa kazi kwa ajili ya mustakabali wako.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Pchumt86h14/VPVrlkaXVQI/AAAAAAAHHSg/9vJINZeSMfE/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: USIFANYE MAKOSA, HUU NDIO UTARATIBU WA KUNUNUA NYUMBA ILIYOWEKWA REHANI/DHAMANA BENKI
![](http://4.bp.blogspot.com/-Pchumt86h14/VPVrlkaXVQI/AAAAAAAHHSg/9vJINZeSMfE/s1600/law_5.jpg)
Nimewahi kuandika mara kwa mara kuhusu utaratibu mzuri wa kumwezesha mtu kununua nyumba huku akiwa ameepuka mgogoro. Nilitahadharisha sana kuhusu migogoro ya ardhi ambayo sasa imekuwa janga la kitaifa hapa kwetu. Nakumbuka moja kati ya mambo niliyoeleza ni kuwa utaratibu wa manunuzi ya nyumba/viwanja unatofautiana.Nikasema kwamba tofauti zake zinatokana na ukweli kuwa kila nyumba ina mazingira yake. Hata hivyo sikusema...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-orm8i_Jn5LE/U6gB67o5dtI/AAAAAAAAAog/LlzPYMCYTEg/s72-c/10441151_776114232410007_7420358411946438068_n.jpg)
HAYA NAYOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!
![](http://4.bp.blogspot.com/-orm8i_Jn5LE/U6gB67o5dtI/AAAAAAAAAog/LlzPYMCYTEg/s640/10441151_776114232410007_7420358411946438068_n.jpg)
9 years ago
Bongo505 Sep
Video: Noah Pv Ft Ibra O — Kura Yako
Video mpya ya msanii Noah Pv amemshirikisha Ibra O wimbo unaitwa “Kura Yako” video imeongozwa na kampuni Under After Daylight Films Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo503 Sep
Music: Noah Pv Ft I bra O — Kura Yako
Wimbo mpya unaitwa “Kura Yako” wa msanii Noah Pv amemshirikisha I bra O wanahamasisha vijana kushiriki ipasavyo katika suala la kupiga kura katika uchaguzi mkuu. Na kuhamasisha swala la upendo na amani. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia […]
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Turekebishe haya kabla ya kura ya maoni 2016
MCHAKATO wa kuandikwa upya Katiba Mpya ya Tanzania ulioanza mwaka 2011, bado haujafikia tamati. Bado hatujapata Katiba Mpya inayotakiwa kwasababu kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 (The...
11 years ago
Michuzi19 Apr
9 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-22VHIvaaVCo/VihiHnaAMMI/AAAAAAAAnHc/Tqk11ZT3NRY/s1600/1.jpg)
MAMBO YATAKAYOSABABISHA KURA YAKO IWE IMEHARIBIKA AU SAHIHI
Kura halali zitakazopigwa siku ya Jumapili kwa ajili ya kuwachagua viongozi kwenye Uchaguzi Mkuu zinaweza kuharibika ikiwa hazitapigwa kwa usahihi na kuondoa utata.. Kura iliyoharibika ni ile ambayo: Haina alama yoyote Imepigwa kwa wagombea zaidi ya mmoja Imeandikwa jina la mpiga kura Alama imewekwa nje ya kisanduku cha picha ya mgombea Haina muhuri wenye alama rasmi Kura sahihi;
Yenye alama ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yi0TCIBaEFWr7yBkJRgI5w00qargCSvXwUziSgiL7eutd5GxaBwbKTScBhMT2SHpeyCgoqMybSiotRmfKfrfshplnkGN7k-I/Mwenyekiti.jpg?width=650)
THAMINI KURA YAKO, TUNZA KADI UCHAGUE KIONGOZI ANAYEFAA
NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuandika haya nitakayoandika leo kwa manufaa ya nchi yangu ninayoipenda.Watanzania wote tuliojiandikisha tunatarajia kupiga kura Oktoba 25, mwaka huu. Kura ni kitendo cha kumchagua kiongozi ambaye wewe binafsi unaona atafaa kuongoza jamii katika ngazi fulani. Kitendo hicho hufanyika mara moja baada ya muda fulani kufuatana na jinsi mlivyojipangia wenyewe kisheria. Hapa kwetu huwa kila...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania