MAMBO YATAKAYOSABABISHA KURA YAKO IWE IMEHARIBIKA AU SAHIHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-22VHIvaaVCo/VihiHnaAMMI/AAAAAAAAnHc/Tqk11ZT3NRY/s1600/1.jpg)
Kura halali zitakazopigwa siku ya Jumapili kwa ajili ya kuwachagua viongozi kwenye Uchaguzi Mkuu zinaweza kuharibika ikiwa hazitapigwa kwa usahihi na kuondoa utata.. Kura iliyoharibika ni ile ambayo: Haina alama yoyote Imepigwa kwa wagombea zaidi ya mmoja Imeandikwa jina la mpiga kura Alama imewekwa nje ya kisanduku cha picha ya mgombea Haina muhuri wenye alama rasmi Kura sahihi; Yenye alama ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili23 Aug
Je unataka ndoa yako iwe na mvuto?
9 years ago
Mzalendo Zanzibar06 Sep
Amani iwe juu yako Zanzibar
Na Rashid Abdallah Ilikuwa ni Jioni ya maombi ya Ijumaa tarehe 6 mwezi huu, Wazanzibari walikusanyika katika viwanja mbali mbali ndani ya Zanzibar kuiyombea nchi yao amani na utulivu kuelekea katika uchaguzi wa October 25. Hata […]
The post Amani iwe juu yako Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Mambo ya kuzingatia ili ndoa iwe halali
NDOA nyingi zimekuwa na migogoro ya mara kwa mara ambayo hupelekea ndoa hizo kutodumu. Tafiti zinaonyesha wanandoa wengi ambao wanaishi katika ndoa zao sio kwa kuwa wanapendana, bali ni kwa...
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Mambo ya kuzingatia ili ndoa iwe halali (2)
(e) Wafunga ndoa wawe wametimiza umri unaokubalika kisheria: Mwanamke na mwanaume wawe wametimiza miaka 18, ili kufunga ndoa. Hata hivyo mwanamke anaweza kuolewa akiwa na umri wa chini ya 18,...
10 years ago
Vijimambo04 Jun
IGEZO 7 MUHIMU KWA MWENZA SAHIHI WA MAISHA YAKO!
![](http://api.ning.com/files/sbS3oDiupKCGu6zIuzMR5Mvo7p-cfZXmYOkBV6pwpuxa4ZwLE5d8tr6t5jMd7E6PpNYi4ZYNZzPFK7OHvsexPJKq0WKa*v3I/valentinesdayresolutionsforcouples.jpg?width=550)
Ndiyo maana hapa chini nimekupa vigezo saba vya mtu anayekupenda kwa dhati na anafaa kuwa mwenza wako endapo mtakuwa tayari mmeshaanzisha uhusiano wa kawaida.
Mguso wa hisia
Hakika mapenzi ni mguso wa hisia, kwa maana hiyo kigezo kikuu cha kuzingatia kwa mtu anayestahili kuwa mwenzi wako wa ndoa ni vile ambavyo hisia zake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuBz7eaw5UZkV0b-C9peBZ4*WbDyiazI0pN7IXhtvmhcvbpDx7wEN*OdROThOpUDxA75Mqk9zpX*UU*IPqJwa-1p/mahaba.gif?width=650)
VIGEZO 7 MUHIMU KWA MWENZA SAHIHI WA MAISHA YAKO!
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Hamasa hii iwe pia katika kupiga kura
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Mambo yanayoweza kukusaidia kutambua kama ujumbe unaopata ni sahihi
9 years ago
Mwananchi01 Nov
SAIKOLOJIA : Mambo yanayoweza kukusaidia kutambua kama ujumbe unaopata ni sahihi