Mambo yanayoweza kukusaidia kutambua kama ujumbe unaopata ni sahihi
Ninaamini unafahamu nini inabidi kifanyike ili kuwe na mawasiliano ya kauli. Lazima kuwapo na kitendo cha kusema na kusikiliza, lakini ili mchakato wa kutuma ujumbe ukamilike, lazima pia ujumbe utoke kwa mtu mmoja kwenda mwingine na pia iwepo njia ya kutuma ujumbe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi01 Nov
SAIKOLOJIA : Mambo yanayoweza kukusaidia kutambua kama ujumbe unaopata ni sahihi
Ninaamini unafahamu nini inabidi kifanyike ili kuwe na mawasiliano ya kauli. Lazima kuwapo na kitendo cha kusema na kusikiliza, lakini ili mchakato wa kutuma ujumbe ukamilike, lazima pia ujumbe utoke kwa mtu mmoja kwenda mwingine pia iwepo njia ya kutuma ujumbe.
9 years ago
Mwananchi27 Sep
SAIKOLOJIA : jinsi ya kutambua ujumbe sahihi
Ninaamini unafahamu nini inabidi kifanyike ili yapatikane mawasiliano ya kauli. Kuna vitendo viwili vya kuzungumza na kusikiliza, unaelewa fika kuwa ili mchakato wa kutuma ujumbe ukamilike unatakiwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Mambo muhimu ya kukusaidia kuwa na furaha muda wote
Ni vyema ukifahamu kwamba baadhi ya vitu unavyovitegemea vinaweza visikupe furaha unayoitamani, yamkini mumeo au mkeo asikupe furaha, yamkini fedha na mali ulizonazo zisikupe furaha ya kweli. Jaribu kubeba jukumu la kujihakikishia una furaha pasipo kutegemea mazingira ya vitu au watu wanaokuzunguka. Chukua jukumu la la kuzalisha, kuitunza na kuiendeleza ile furaha na amani inayoishi ndani yako.
10 years ago
Mwananchi23 Apr
Mambo 20 yanayoweza kuvuruga Uchaguzi Mkuu
Arusha. Mataifa mengi na hasa ya Kiafrika yamekuwa yakiingia katika vurugu na machafuko makubwa unapofika uchaguzi.
9 years ago
Bongo517 Sep
Njia za kukusaidia kufanya mabadiliko hata kama kubadilika ni kazi ngumu
Viongozi wazuri huweza kushughulikia mabadiliko vizuri, iwe kwenye ngazi ya kisiasa, kijamii na hata kibiashara. Rais Jonathan anaweza akawa mtu wa kuigwa kwenye siasa za Nigeria kitu ambacho mataifa mengi ya Afrika wanashindwa kufanya na hata yale ya Mashariki ya Kati. Kuna viongozi wao wanadhani wao ndio kila kitu au miungu wadogo lakini ukweli wa […]
10 years ago
Vijimambo16 May
9 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-22VHIvaaVCo/VihiHnaAMMI/AAAAAAAAnHc/Tqk11ZT3NRY/s1600/1.jpg)
MAMBO YATAKAYOSABABISHA KURA YAKO IWE IMEHARIBIKA AU SAHIHI
Kura halali zitakazopigwa siku ya Jumapili kwa ajili ya kuwachagua viongozi kwenye Uchaguzi Mkuu zinaweza kuharibika ikiwa hazitapigwa kwa usahihi na kuondoa utata.. Kura iliyoharibika ni ile ambayo: Haina alama yoyote Imepigwa kwa wagombea zaidi ya mmoja Imeandikwa jina la mpiga kura Alama imewekwa nje ya kisanduku cha picha ya mgombea Haina muhuri wenye alama rasmi Kura sahihi;
Yenye alama ya...
9 years ago
MichuziUJUMBE WA UBALOZI WA CHINA NCHINI WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
10 years ago
Vijimambo21 Jan
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania