IGEZO 7 MUHIMU KWA MWENZA SAHIHI WA MAISHA YAKO!
MARA nyingi tunapofikiria namna ya kumpata mwenza sahihi, huwa tunaangalia ishu ya kumpata yule mwenye mapenzi ya dhati lakini kumjua anayekupenda kwa dhati ni vigumu sana.
Ndiyo maana hapa chini nimekupa vigezo saba vya mtu anayekupenda kwa dhati na anafaa kuwa mwenza wako endapo mtakuwa tayari mmeshaanzisha uhusiano wa kawaida.
Mguso wa hisia
Hakika mapenzi ni mguso wa hisia, kwa maana hiyo kigezo kikuu cha kuzingatia kwa mtu anayestahili kuwa mwenzi wako wa ndoa ni vile ambavyo hisia zake...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuBz7eaw5UZkV0b-C9peBZ4*WbDyiazI0pN7IXhtvmhcvbpDx7wEN*OdROThOpUDxA75Mqk9zpX*UU*IPqJwa-1p/mahaba.gif?width=650)
VIGEZO 7 MUHIMU KWA MWENZA SAHIHI WA MAISHA YAKO!
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Unajua kuwa sanaa yako inajumuisha maisha yako binafsi?
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Je, unaweza kuyakabili matatizo yasiathiri furaha yako na maisha yako?
5 years ago
BBCSwahili09 Mar
Coronavirus: Kwa nini shirika la afya duniani linasema hatua ya kujishika uso ni hatari kwa maisha yako?
9 years ago
Habarileo24 Oct
Takwimu sahihi zatajwa kuwa muhimu
OFISI ya Taifa ya Takwimu imesema takwimu sahihi zina umuhimu mkubwa kutokana na kuwa chanzo kikuu cha kupima kasi ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
9 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-22VHIvaaVCo/VihiHnaAMMI/AAAAAAAAnHc/Tqk11ZT3NRY/s1600/1.jpg)
MAMBO YATAKAYOSABABISHA KURA YAKO IWE IMEHARIBIKA AU SAHIHI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LMZbfjT5Z7OY24aLM2d7-jlifdZEgCOlHLZetzbgnOLhOFQWE6dd*yyEzN43VYYxBkKSLVjDcxGUXcPvVTTdv2qK4JXfoGA0/mahaba.jpg?width=650)
SIRI USIZOZIJUA ZA MWENZI SAHIHI WA MAISHA!
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona: Je ukivaa barakoa ni muhimu kuzingatia umbali wa mita moja kati yako na
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Muhimu kuwa fikra chanya katika maisha
FIKRA chanya si kitu kipya katika maisha ya mwanadamu. Ni vema ukawa na fikra chanya katika vitu unavyovifanya kwa kuamini vinaweza kukuletea mabadiliko. Mwandishi maarufu Napoleon Hill katika kitabu chake...