SIRI USIZOZIJUA ZA MWENZI SAHIHI WA MAISHA!
![](http://api.ning.com:80/files/LMZbfjT5Z7OY24aLM2d7-jlifdZEgCOlHLZetzbgnOLhOFQWE6dd*yyEzN43VYYxBkKSLVjDcxGUXcPvVTTdv2qK4JXfoGA0/mahaba.jpg?width=650)
ENEO ambalo linahitaji matumizi makubwa na sahihi zaidi ya akili katika maisha ya mwanadamu ni ndoa. Kujua nani anayefaa kuingia katika maisha yake. Baadhi ya watu huona kama ni jambo la kawaida, ambalo hufanywa kwa kutimiza utaratibu wa maisha ya kila siku. Wanakosea sana, linahitaji umakini wa hali ya juu maana haliwezi kujirudia! Mtu unayetarajia kuungana naye katika ndoa, anatakiwa awe na vigezo vya kutosha. Nitakuambia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo04 Jun
IGEZO 7 MUHIMU KWA MWENZA SAHIHI WA MAISHA YAKO!
![](http://api.ning.com/files/sbS3oDiupKCGu6zIuzMR5Mvo7p-cfZXmYOkBV6pwpuxa4ZwLE5d8tr6t5jMd7E6PpNYi4ZYNZzPFK7OHvsexPJKq0WKa*v3I/valentinesdayresolutionsforcouples.jpg?width=550)
Ndiyo maana hapa chini nimekupa vigezo saba vya mtu anayekupenda kwa dhati na anafaa kuwa mwenza wako endapo mtakuwa tayari mmeshaanzisha uhusiano wa kawaida.
Mguso wa hisia
Hakika mapenzi ni mguso wa hisia, kwa maana hiyo kigezo kikuu cha kuzingatia kwa mtu anayestahili kuwa mwenzi wako wa ndoa ni vile ambavyo hisia zake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuBz7eaw5UZkV0b-C9peBZ4*WbDyiazI0pN7IXhtvmhcvbpDx7wEN*OdROThOpUDxA75Mqk9zpX*UU*IPqJwa-1p/mahaba.gif?width=650)
VIGEZO 7 MUHIMU KWA MWENZA SAHIHI WA MAISHA YAKO!
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Siri za kiafya za kuishi maisha marefu
10 years ago
Bongo Movies08 Aug
Shamsa Ford Atoboa ‘Negative Sides’ Zake 20 Usizozijua
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ameandika haya kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram.
Morning my people..hizi ndo my negative sides
(1) Nina wivu kupitiliza kwa mtu ambae nampenda ingawa sioneshi
(2) Nina kaukorofi nikiudhiwa
(3) Nina hasira sana
(4) Ni mtu ambae nikiamua langu nimeamua
(5) Mimi ni msiri mnooooo
(6) Ni mtu ambae ni mzito kusema shida yangu niko radhi nife nayo kimiya kimiya
(7) Ni mgumu kusamehe
(8) Mtu anaweza kunikosea na nikakaa kimiya...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar02 Oct
CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI
Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]
The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDMstaH8sDjzMrajB1U4O5Ih-hdspO6nOTsbpERfzK82GjQJOO6DqMZKg4q*h*0VPgsvv*HafdBDRhSBGY4qr7Ze/mahaba.jpg?width=650)
UMESHAGUNDUA ANACHOHITAJI MWENZI WAKO?-2
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Mwenzi uliyenaye ni mtoto wa ngapi?(1)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpygQxND7LDZLnTrb7hgW8XAORTFau*oszq986wIa2ClOdmnyqJaZco3VURncGmA9mBxNDcDpSaYNNpV8xA3Rm04/mahaba.jpg?width=650)
UMESHAGUNDUA ANACHOHITAJI MWENZI WAKO?