Shamsa Ford Atoboa ‘Negative Sides’ Zake 20 Usizozijua
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ameandika haya kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram.
Morning my people..hizi ndo my negative sides
(1) Nina wivu kupitiliza kwa mtu ambae nampenda ingawa sioneshi
(2) Nina kaukorofi nikiudhiwa
(3) Nina hasira sana
(4) Ni mtu ambae nikiamua langu nimeamua
(5) Mimi ni msiri mnooooo
(6) Ni mtu ambae ni mzito kusema shida yangu niko radhi nife nayo kimiya kimiya
(7) Ni mgumu kusamehe
(8) Mtu anaweza kunikosea na nikakaa kimiya...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies14 Apr
Hatimaye Shamsa Ford Atoboa Kuwa Nay ndio “EndlessLove” Wake
Staa mrembo wa Bongo Movies Shamsa Ford ambae siku za hivi karibuni alikanusha waziwazi alipokuwa akihojiwa na vy mbo mablimbali vya habari juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi wa Staa Nay wa Mitego hatimaye jana kupitia ukurasa wake mtandaoni alibandikaa picha yake pamoja na ya Nay ankuandika maneno ya kimahada yaliyosomeka “Miss u so much my endlesslove.”
Kitendo ambacho kinathibitisha kuwa wawili hawa wapo kwenye penzi moto moto
Siku za hivi baribuni zilisambaa picha za wawili hawo...
11 years ago
GPLSHAMSA FORD: POMBE IMENIZEESHA
11 years ago
GPLSHAMSA FORD NA HOFU YA KIFO
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Shamsa Ford hana aibu!
Msanii wa filamu, Shamsa Ford.
Imelda Mtema
Hana aibu! Msanii wa filamu, Shamsa Ford hivi karibuni alizua gumzo baada ya kutupia picha kwenye mtandao ikimuonesha akiwa nusu utupu mbele ya Wamasai walioonekana kupata mfadhaiko.
Mara baada ya msanii huyo kuiwekaN mtandaoni picha hiyo, mashabiki wake wengi walimchana kwa kuacha maungo yake wazi tena pembeni wakiwepo watoto.
Akiizungumzia picha hiyo, Shamsa alisema kuwa, aachwe avae anavyotaka kwani hakuna mtu anayeweza kumuingilia kwenye maisha...
11 years ago
GPLSHAMSA FORD AGOMA KUOLEWA
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Shamsa Ford ajivunia mapokezi ya Chausiku
MWANADADA anayetamba katika filamu ya ‘Chausiku’, Shamsa Ford amewashukuru wapenzi wake kwa kuipokea vyema filamu hiyo na kwamba anauhakika kati ya kazi zote hiyo amecheza vizuri zaidi. Akizungumza jijini Dar...
10 years ago
GPLSHAMSA FORD NAYE AMSALITI NAY
10 years ago
Bongo Movies03 Jun
Shamsa Ford Amfunda Aunt Ezekiel
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ameamua kumfunda mwezie Aunt Ezekiel juu ya kulinda familia yake. Aunt Ezekiel ambaye amejifungua hivi kalibuni mototo wa kike aliyempa jina la Cookie, alipewa mafunzo hayo kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya Aunt kuweka picha iliyomuonesha baba wa mototo wake Moses Iyobo ambaye pia ni dansa wa msaanii wa muziki Diamond Platnum akiwa amekaa pembeni ya mototo wao akimuangalia.
Katika picha hiyo Aunt aliandika maneno”Daddy’s home sio kwa kutaka muda...
10 years ago
GPLSHAMSA FORD: NAWACHUKIA WANAOPENDA KUJIKWEZA