SHAMSA FORD: NAWACHUKIA WANAOPENDA KUJIKWEZA
![](http://api.ning.com:80/files/qUZbsOiEeqnxh37lP4GGIgT*iD5v-5dnN2JhANT*wNcZyi5cc1mVp0jHTyVfJKCAl*CFsQw4htHyHWA4SlkAbuLXc7uY5mpV/IMG_0006.jpg?width=650)
Muigizaji wa Bongo Movie, Shamsa Ford. Gabriel Ng’osha NI wiki nyingine tena mpenzi msomaji wa safu hii ya Dukuduku. Leo tunaye muigizaji wa Bongo Movie, Shamsa Ford akifunguka kuwa hapendi au kusikia watu wanashindana kwenye vitu vya kijinga. “Huwa nawashangaa hao wanaojiita ni watoto wa mjini, kuna wakati utakuta wanashindana katika mambo ya kijinga, mfano mwenzake kafanya hiki basi na yeye pia anataka akifanye...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXsOYm4*bfechRvW-ZTv2j2JBxhUqxGHEitlp*0jJzIQbBhNVlLVvCOfBxAyMUgT-fqjMj-RodrUZ6gjieetY7h1/SHAMSHA.jpg?width=650)
SHAMSA FORD AGOMA KUOLEWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04asF*SQblaZ*F6SKKQLmrLlJHCwGXlxdzsjpYEAAlVRQ2jzIB*bWDt-lOZIloh1Ya8CmxijnhaEm4gmch2CuR8RK/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA FORD NA HOFU YA KIFO
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Shamsa Ford hana aibu!
Msanii wa filamu, Shamsa Ford.
Imelda Mtema
Hana aibu! Msanii wa filamu, Shamsa Ford hivi karibuni alizua gumzo baada ya kutupia picha kwenye mtandao ikimuonesha akiwa nusu utupu mbele ya Wamasai walioonekana kupata mfadhaiko.
Mara baada ya msanii huyo kuiwekaN mtandaoni picha hiyo, mashabiki wake wengi walimchana kwa kuacha maungo yake wazi tena pembeni wakiwepo watoto.
Akiizungumzia picha hiyo, Shamsa alisema kuwa, aachwe avae anavyotaka kwani hakuna mtu anayeweza kumuingilia kwenye maisha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvEdJfuw1v0NazLOQEgFOQYa8GKAq1i6egmaFlfz-A9F3-4qZSGPe50-bHYYVuK2IxcTcoFEDPX9uEsh6GVkU9*-/shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA FORD: POMBE IMENIZEESHA
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Shamsa Ford ajivunia mapokezi ya Chausiku
MWANADADA anayetamba katika filamu ya ‘Chausiku’, Shamsa Ford amewashukuru wapenzi wake kwa kuipokea vyema filamu hiyo na kwamba anauhakika kati ya kazi zote hiyo amecheza vizuri zaidi. Akizungumza jijini Dar...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrNQqP948LddwURh5T81edcovkCwR8Iv0xFsF6wQmcXVC06TYYRX4GgcAJrD6SVFHwR5Y0d2O5YeJ2PutjeIk2hG/SHAMSHA.jpg)
SHAMSA FORD NAYE AMSALITI NAY
10 years ago
GPLSHAMSA FORD ATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
Bongo Movies03 Jun
Shamsa Ford Amfunda Aunt Ezekiel
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ameamua kumfunda mwezie Aunt Ezekiel juu ya kulinda familia yake. Aunt Ezekiel ambaye amejifungua hivi kalibuni mototo wa kike aliyempa jina la Cookie, alipewa mafunzo hayo kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya Aunt kuweka picha iliyomuonesha baba wa mototo wake Moses Iyobo ambaye pia ni dansa wa msaanii wa muziki Diamond Platnum akiwa amekaa pembeni ya mototo wao akimuangalia.
Katika picha hiyo Aunt aliandika maneno”Daddy’s home sio kwa kutaka muda...
10 years ago
Bongo Movies01 Jun
Shamsa Ford anamlea mtoto wa Nay Wa Mitego?
Picha iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford akiwa amembeba mtoto wa staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego, Curtis imezua maswali kwa mashabiki wao kuwa huenda mwigizaji huyo kwa sasa anamlea mtoto huyo.
Miezi ya hivi karibuni Nay Wa Mitego aliamua kumchukua mtoto wake kutoka kwa mama yake Siwema aliyekuwa akiishi jijini Mwanza baada ya kutoelewana kati yao na minong’ono ilisambaa kuwa msanii huyo anatoka kimapenzi na Shamsa Ford.
Hata hivyo wote wawili walikana...