Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siri za kiafya za kuishi maisha marefu

Aghalabu maisha ya mwanadamu yeyote yule yapo mikononi mwa muumba wake, ambaye hujua lini muda wa kuishi wa kiumbe wake utakwisha. Lakini mtindo wa maisha yetu usiojali kanuni za afya, umeonyesha kuwa ndicho chanzo cha watu wengi kuishi maisha mafupi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je unataka kuishi maisha marefu duniani ?

Utafiti wa miaka saba huko China unaonesha kuwa ukila vyakula hivi unajiongezea siku zako duniani,soma utafiti.

 

11 years ago

Mwananchi

Kanuni za sayansi za kusaidia mtu kuishi maisha marefu

>Kwa miaka mingi sana binadamu wa karne zote wamekuwa wakitafuta siri za maisha marefu, kuzuia uzee na hata kuzuia kifo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Utafiti: Pilipili huchangia maisha marefu

Utafiti umeonyesha ulaji wa pilipili husaidia kuimarisha afya na kurefusha maisha ya binadamu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaume wanahatarisha maisha yao kiafya

Wasomaji wa Piramidi ya afya, mwaka mpya na mambo mapya. Baada ya kuongelea mambo mengi yanayomhusu mama na mtoto kwa takriban miaka miwili, sasa tunamgeukia baba (mwanaume).

 

11 years ago

Mwananchi

Mtindo bora wa maisha unavyoleta mageuzi kiafya

>Tabia na mienendo ya watu kimaisha imekuwa ni sababu ya matatizo kwao, jamii na hata kwa uchumi wa nchi ambao unahitaji sana nguvu kazi inayotokana na afya njema.

 

11 years ago

Mwananchi

Tabia hatarishi kwa maisha ya Watanzania;nyingi ni hatari kiafya

>Kwa siku kadhaa kuanzia leo, safu hii itaangazia baadhi ya tabia na mienendo ya Watanzania ambayo wataalamu wanasema ni hatari kwa maisha yetu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kisukari kinavyotulazimisha kuishi maisha tusiyopenda

Wataalamu wa afya wameugawanya ugonjwa wa kisukari katika makundi makuu matatu.

 

11 years ago

GPL

SIRI USIZOZIJUA ZA MWENZI SAHIHI WA MAISHA!

ENEO ambalo linahitaji matumizi makubwa na sahihi zaidi ya akili katika maisha ya mwanadamu ni ndoa. Kujua nani anayefaa kuingia katika maisha yake. Baadhi ya watu huona kama ni jambo la kawaida, ambalo hufanywa kwa kutimiza utaratibu wa maisha ya kila siku. Wanakosea sana, linahitaji umakini wa hali ya juu maana haliwezi kujirudia!
Mtu unayetarajia kuungana naye katika ndoa, anatakiwa awe na vigezo vya kutosha. Nitakuambia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyumbu huhama masafa marefu

NYUMBU ni mmoja wa wanyama wakubwa wanaopatikana kwa wingi barani Afrika, hasa katika eneo la Afrika Mashariki. Wanapatikana kwa wingi katika eneo la Afrika Mashariki kiasi kwamba katika mbuga kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani