Wanaume wanahatarisha maisha yao kiafya
Wasomaji wa Piramidi ya afya, mwaka mpya na mambo mapya. Baada ya kuongelea mambo mengi yanayomhusu mama na mtoto kwa takriban miaka miwili, sasa tunamgeukia baba (mwanaume).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Siri za kiafya za kuishi maisha marefu
Aghalabu maisha ya mwanadamu yeyote yule yapo mikononi mwa muumba wake, ambaye hujua lini muda wa kuishi wa kiumbe wake utakwisha. Lakini mtindo wa maisha yetu usiojali kanuni za afya, umeonyesha kuwa ndicho chanzo cha watu wengi kuishi maisha mafupi.
11 years ago
Mwananchi09 May
Mtindo bora wa maisha unavyoleta mageuzi kiafya
>Tabia na mienendo ya watu kimaisha imekuwa ni sababu ya matatizo kwao, jamii na hata kwa uchumi wa nchi ambao unahitaji sana nguvu kazi inayotokana na afya njema.
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Tabia hatarishi kwa maisha ya Watanzania;nyingi ni hatari kiafya
>Kwa siku kadhaa kuanzia leo, safu hii itaangazia baadhi ya tabia na mienendo ya Watanzania ambayo wataalamu wanasema ni hatari kwa maisha yetu.
11 years ago
Mwananchi23 Sep
Wadai rasilimali walizonazo haziendani na maisha yao.
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro mkoani hapa umesema pamoja na hifadhi ya Bonde la Ngorongoro kutajwa kama urithi wa dunia, wakazi wa wilaya hiyo bado wanaishi katika lindi la umaskini.
10 years ago
Habarileo24 Dec
Madereva waaswa, ulevi ni hatari kwa maisha yao
MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria, kutotumia vinywaji vyenye ulevi na kuacha tabia ya kuongea na simu kwa kutuma au kupokea ujumbe wa maneno wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa dada yao
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida, imemuhukumu Mkazi wa Veta Kata ya Mandewa, Ramadhan John (20) na mdogo wake, Karim (18) kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka kwa zamu mtoto wa kike wa dada yao (9).
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Taifa liwaenzi mashujaa wake kabla na baada ya maisha yao
Tanzania na nchi za Kusini mwa Afrika kwa ujumla hivi sasa zipo katika maombolezo ya kifo cha mmoja wa mashujaa wake, Brigedia Jenerali Hashim Mbita kilichotokea Dar es Salaam juzi.
10 years ago
Bongo519 Nov
Jokate na Gaetano kuja na show yao Maisha Magic, December hii
Baada ya Salama Jabir kupata shavu la kuwa na show kwenye kituo cha runinga cha Maisha Magic, sasa ni zamu ya Jokate Mwegelo. Mtangazaji huyo anatarajiwa kuongeza show yake ya tatu katika TV (baada ya The One Show ya TV1 na Top 10 Most ya Channel O), itakayoanza kuonekana kupitia Maisha Magic, December mwaka huu. […]
5 years ago
BBCSwahili21 Mar
Wapenzi wasioona waliofunga pingu za maisha wasimulia safari yao ya mapenzi
Mpiga picha wa India alipiga picha za wapenzi ambao mapenzi hayakuangalia muonekano.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania