Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtindo bora wa maisha unavyoleta mageuzi kiafya

>Tabia na mienendo ya watu kimaisha imekuwa ni sababu ya matatizo kwao, jamii na hata kwa uchumi wa nchi ambao unahitaji sana nguvu kazi inayotokana na afya njema.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AHIMIZA WANANCHI KUEPUKANA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA KUPIMA AFYA ZAO NA KUZINGATIA MTINDO BORA WA MAISHA

1nh
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na umati wa watu waliokisanyika katika banda la NHIF juu ya umuhimu wa watu kupima afya zao mara kwa mara na kuzingatia kanuni bora za maisha ili kuepuka maginjwa yasiyoambikiza ambayo mengi husababishwa na unene uliokithiri. 2nhMh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF kuhusu huduma zinazotolewa na banda la NHIF katika Maonesho ya Wiki ya Serikali za Mitaa viwanja vya Mashujaa Mtwara. nh3Msururu wa wananchi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Siri za kiafya za kuishi maisha marefu

Aghalabu maisha ya mwanadamu yeyote yule yapo mikononi mwa muumba wake, ambaye hujua lini muda wa kuishi wa kiumbe wake utakwisha. Lakini mtindo wa maisha yetu usiojali kanuni za afya, umeonyesha kuwa ndicho chanzo cha watu wengi kuishi maisha mafupi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaume wanahatarisha maisha yao kiafya

Wasomaji wa Piramidi ya afya, mwaka mpya na mambo mapya. Baada ya kuongelea mambo mengi yanayomhusu mama na mtoto kwa takriban miaka miwili, sasa tunamgeukia baba (mwanaume).

 

11 years ago

Mwananchi

Tishio la kutoweka kwa ndizi labadili mtindo wa maisha

Tishio la kutoweka kwa migomba mkoani Kagera mbali na kusababisha uhaba mkubwa wa chakula na kuyumbisha uchumi wa familia nyingi, pia mfumo wa maisha umebadilika ili kukabiliana na hali hiyo kwa sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Tabia hatarishi kwa maisha ya Watanzania;nyingi ni hatari kiafya

>Kwa siku kadhaa kuanzia leo, safu hii itaangazia baadhi ya tabia na mienendo ya Watanzania ambayo wataalamu wanasema ni hatari kwa maisha yetu.

 

9 years ago

StarTV

Manyara wajenga vyoo bora kiafya kudhibiti magonjwa ya mlipuko

Mkoa wa Manyara umeendelea kuchukua hatua mbalimbali kukabiliana na magonjwa ya milipuko kwa kujenga vyoo vinavyozingatia vigezo vya kiafya na kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama hususani vijijini ambako mara nyingi kuna changamoto ya ufahamu kuhusu elimu ya usafi wa mazingira.

Mkakati wa uboreshaji wa vyoo na miundo mbinu bora ya maji ni hatua itakayochangia kuiokoa jamii kutoka kwenye dhana ya kujisaidia ovyo vichakani na pia kutotumia maji safi na salama.

Shule ya msingi Guse...

 

10 years ago

Mwananchi

Tutandelea kutengeneza filamu kwa mtindo wa bora liende mpaka lini?

Tasnia ya filamu hapa nchini inaonekana kukua siku hadi hali inayosababisha kutengenezwa kwa kazi mpya kila kukicha na kusababisha ushindani mkubwa sokoni.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasali kuombea maisha bora

>Wachungaji kutoka ndani na nje ya nchi wamekusanyika kwenye  Kiwanja cha Cathedral of Joy International Kiluvya-Gogoni  kuwaombea Watanzania walioumizwa na hali mbaya ya uchumi,  utawala, dini, migongano ya kijamii na kisiasa.

 

11 years ago

Habarileo

Kiwango maisha bora chapanda

Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi chapisho la tatu la taarifa za msingi za kidemografia, kijamii na kiuchumi pamoja na tovuti katika kupata taarifa za Sensa na Makazi katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, mwakilishi wa UNFPA, Mariam Khan, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum na Kamishna wa Sensa na Makazi, Amina Mrisho. (Picha na Freddy Maro).MAENDELEO ya Watanzania na kuongezeka kwa ubora wa maisha yao sasa ni dhahiri baada ya chapisho la tatu la Taarifa za Msingi za Kidemografia, Kijamii na Kiuchumi, linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012, kuonesha hatua walizopiga katika maisha yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani