Manyara wajenga vyoo bora kiafya kudhibiti magonjwa ya mlipuko
Mkoa wa Manyara umeendelea kuchukua hatua mbalimbali kukabiliana na magonjwa ya milipuko kwa kujenga vyoo vinavyozingatia vigezo vya kiafya na kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama hususani vijijini ambako mara nyingi kuna changamoto ya ufahamu kuhusu elimu ya usafi wa mazingira.
Mkakati wa uboreshaji wa vyoo na miundo mbinu bora ya maji ni hatua itakayochangia kuiokoa jamii kutoka kwenye dhana ya kujisaidia ovyo vichakani na pia kutotumia maji safi na salama.
Shule ya msingi Guse...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi26 Dec
Buguruni wahofia magonjwa ya mlipuko
9 years ago
Habarileo07 Nov
Bahi wahadharishwa magonjwa ya mlipuko
MKUU wa Wilaya ya Bahi, Francis Mwonga, ametaka wananchi kuchukua tahadhari dhidi magonjwa ya mlipuko yanayoweza kujitokeza katika kipindi hiki cha majanga yanayotokana na mvua.
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Simu kutumika taarifa za magonjwa ya mlipuko
11 years ago
GPL
MAGONJWA YA MLIPUKO YANUKIA DAR
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Wakazi Tungi wahofia magonjwa ya mlipuko
WAKAZI wa Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, wamekumbwa na hofu ya kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Moruwasa) kutowapatia majisafi na salama...
5 years ago
Michuzi
WAJASIRIAMALI WATAKIWA KUJIKINGA DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO
Na.Catherine Sungura-Chato
Wajasiliamali wote nchini wametakiwa kujikinga dhidi ya magonjwa ya milipuko wanapofanya biashara zao ndani na nje ya nchi
Elimu hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Zainabu Chaula wilayani hapa kwenye kongamano la wajasiriamali lililoandaliwa na Chama cha Wanataaluma Waadventista Tanzania (ATAPE).
Amesema kongamano hilo la wajasiriamali, ni tendo jema lenye baraka, "nimekuwa kwenye ziara mikoa ya kigoma...
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Wanafunzi hatarini kupata magonjwa ya mlipuko Geita
11 years ago
Mwananchi09 May
Mtindo bora wa maisha unavyoleta mageuzi kiafya