Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Tungi wahofia magonjwa ya mlipuko

WAKAZI wa Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, wamekumbwa na hofu ya kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Moruwasa) kutowapatia majisafi na salama...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Buguruni wahofia magonjwa ya mlipuko

>Wakazi wa Mtaa wa Buguruni Kisiwani, wamesema afya zao ziko hatarini kupatwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na mabwawa ya majitaka ya Sukita kufurika kinyesi kinachotiririka mitaani.

 

9 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya wakazi 5,000 hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko

SAM_0061

Choo cha muda kinachotumiwa na wanafunzi pamoja na walimu wa shule ya msingi TARU namba saba. (Picha zote na Jumbe Ismailly).

SAM_0066

Baadhi ya wananchi wa kata ya Mang’onyi wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu kumnadi mgombea wa ubunge wa jimbo hilo.

Na Jumbe Ismailly, Ikungi            

ZAIDI ya wakazi 5,000 wa Kijiji cha Sambaru,kata ya Mang’onyi,wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida wamo hatarini kupatwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kujisaidia vichakani kwa kutokuwa na...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi wa Songea waingia lawamani kwa magonjwa ya mlipuko

Wananchi Mkoani Ruvuma wametakiwa kuweka uchafu kuwa adui wao mkubwa na kuufanya usafi uwe rafiki wa kila wananchi  ili kuepukana na kisababisho kikubwa cha kifo ambacho ni uchafu.

Kamanda wa Police Mkoani Ruvuma Mihayo Msekhela ameyasema hayo wakati akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu  katika  kutekeleza adhima ya kufanya uasafi  kila suku ya jumamosi ya mwisho wa Mwezi

Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela amesema kila mwananchi anatakiwa auchukie uchafu...

 

9 years ago

StarTV

 Wakazi Njombe waaswa kusafisha mazingira ili kuepuka  Magonjwa Ya Mlipuko

Wakazi wa mkoa wa Njombe wamehimizwa kuhakikisha wanalinda mazingira kwa kufanya usafi katika makazi yao ili kujihadhari na maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.

Ni rai ya mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi katika maadhimisho ya Wiki ya Mazingira ambayo yamefanyika kitaifa mkoani Njombe.

Mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Nchimbi amesema mkoa umepata sifa kubwa ya kuwa mwenyeji wa wiki ya maadhimishio hayo na kwamba iwe fursa wakazi hao kujifunza kuwa kielelezo cha usafi wa...

 

10 years ago

GPL

WAKAZI JIJINI MWANZA WAHOFIA KULISHWA NYAMA YA MBWA!

Na Mashaka Baltazar, Mwanza
WAKAZI wa Butimba, Wilaya ya Nyamagana jijini hapa wanahofia kulishwa nyama ya mbwa kufuatia ngozi za mnyama huyo kuokotwa mara kwa mara zikiwa zimechunwa na kuondolewa  kwato. Hivi karibuni, ngozi nyingine ya mbwa iligundulika saa 5:00 asubuhi eneo la kona ya kuelekea Gereza Kuu la Butimba ambapo wananchi wa eneo hilo walikusanyika kuishuhudia. Hata hivyo, haikuweza kufahamika mara moja nani...

 

9 years ago

Habarileo

Bahi wahadharishwa magonjwa ya mlipuko

MKUU wa Wilaya ya Bahi, Francis Mwonga, ametaka wananchi kuchukua tahadhari dhidi magonjwa ya mlipuko yanayoweza kujitokeza katika kipindi hiki cha majanga yanayotokana na mvua.

 

11 years ago

GPL

MAGONJWA YA MLIPUKO YANUKIA DAR‏

Picha juu na chini ni magari ya kuzolea taka ngumu ya kampuni mbalimbali yakiwa kwenye foleni ya kuingia Dampo la Pugu Kinyamwezi ambalo miundo mbinu yake ni mibovu na kupelekea zoezi hilo kuchukua zaidi ya siku 4 mpaka kufanikisha kufikia eneo maalum la kumwagia taka ngumu. Pichani juu na chini hii ndio hali halisi ya muonekana wa eneo la Dampo la Pugu Kinyamwezi. Kwa hali hii kweli jamani hata hayo magari ya kuzoa taka...

 

10 years ago

Mwananchi

Simu kutumika taarifa za magonjwa ya mlipuko

Wizara ya Afya, na Ustawi wa Jamii, itaanza kutumia mfumo mpya wa utoaji wa taarifa za magonjwa ya mlipuko kwa kutumia simu za mkononi kwa lengo la kuyadhibiti mara yanapogundulika kabla ya kusababisha madhara makubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani