Wakazi Njombe waaswa kusafisha mazingira ili kuepuka  Magonjwa Ya Mlipuko
Wakazi wa mkoa wa Njombe wamehimizwa kuhakikisha wanalinda mazingira kwa kufanya usafi katika makazi yao ili kujihadhari na maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.
Ni rai ya mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Rehema Nchimbi katika maadhimisho ya Wiki ya Mazingira ambayo yamefanyika kitaifa mkoani Njombe.
Mkuu wa mkoa wa Njombe Dokta Nchimbi amesema mkoa umepata sifa kubwa ya kuwa mwenyeji wa wiki ya maadhimishio hayo na kwamba iwe fursa wakazi hao kujifunza kuwa kielelezo cha usafi wa...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Wakazi Tungi wahofia magonjwa ya mlipuko
WAKAZI wa Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, wamekumbwa na hofu ya kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Moruwasa) kutowapatia majisafi na salama...
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
Zaidi ya wakazi 5,000 hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko
Choo cha muda kinachotumiwa na wanafunzi pamoja na walimu wa shule ya msingi TARU namba saba. (Picha zote na Jumbe Ismailly).
Baadhi ya wananchi wa kata ya Mang’onyi wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu kumnadi mgombea wa ubunge wa jimbo hilo.
Na Jumbe Ismailly, Ikungi
ZAIDI ya wakazi 5,000 wa Kijiji cha Sambaru,kata ya Mang’onyi,wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida wamo hatarini kupatwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kujisaidia vichakani kwa kutokuwa na...
9 years ago
StarTV28 Dec
Wakazi wa Songea waingia lawamani kwa magonjwa ya mlipuko
Wananchi Mkoani Ruvuma wametakiwa kuweka uchafu kuwa adui wao mkubwa na kuufanya usafi uwe rafiki wa kila wananchi ili kuepukana na kisababisho kikubwa cha kifo ambacho ni uchafu.
Kamanda wa Police Mkoani Ruvuma Mihayo Msekhela ameyasema hayo wakati akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu katika kutekeleza adhima ya kufanya uasafi kila suku ya jumamosi ya mwisho wa Mwezi
Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela amesema kila mwananchi anatakiwa auchukie uchafu...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Watahadharishwa kuepuka magonjwa
WAKAZI wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa malaria ili kupunguza idadi ya vifo vya watoto na wajawazito. Kauli hiyo imetolewa jana na Kaimu...
10 years ago
MichuziMATEMBEZI MOSHI — DAR YA KUSAFISHA MAZINGIRA
11 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Waaswa kuepuka vishawishi vya ngono
WANAFUNZI waliohitimu darasa la saba shule ya Msingi Tagamenda Kalenga Iringa Vijijini wameaswa kudumisha nidhamu, maadili na kuepuka vishawishi vya ngono za umri mdogo badala yake wazingatie masomo ya Sekondari...
11 years ago
Habarileo29 Oct
Waislamu waaswa kuepuka vurugu za kisiasa
WAUMINI wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuwa mstari wa mbele kukemea vurugu za aina zote zitakazohusishwa na vyama vya siasa wakati huu ambapo nchi inaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu mwakani.
11 years ago
Habarileo15 Sep
Waaswa kuepuka wanasiasa wenye uchu wa madaraka
WATANZANIA wametakiwa kuepuka wanasiasa wenye uchu wa madaraka ambao wamekuwa wakilazimisha mambo, ikiwa ni pamoja na kutoa kauli zinazoashiria kuvunjika kwa amani na utulivu uliodumu kwa miaka 53 sasa.
5 years ago
CCM Blog
WANANCHI WAASWA KUTOCHOKA KUSAFISHA MIKONO KWA SABUNI NA MAJI SAFI YATIRIRIKAYO KUKABILIANA NA CORONA

Ameyasema hayo leo wakati akipokea vifaa vya kunawia mikono vilivyo tolewa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Wadau wa Project CLEAR katika ofisi za forodha zilizo...