Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WAASWA KUTOCHOKA KUSAFISHA MIKONO KWA SABUNI NA MAJI SAFI YATIRIRIKAYO KUKABILIANA NA CORONA

Na WAMJW- Tunduma SongweKaimu Meneja wa forodha Mikoa ya Songwe na Mbeya Ndg. Anangisye Mtafya amewataka Wasafiri na wafanya biashara wa maeneo ya mipakani kutochoka kusafisha mikono kwa sabuni na maji safi yanayotiririka wakati wote ili kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona.
Ameyasema hayo leo wakati akipokea vifaa vya kunawia mikono vilivyo tolewa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Wadau wa Project CLEAR katika ofisi za forodha zilizo...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAHABUSU YA WATOTO YAPATA MSAADA WA KIFAA CHA KUSAFISHA MAJI SAFI NA SALAMA

Kamishna wa Ustawi wa Jamii,Bw. Dunford Makalla akikata utepe kuashiria ufunguzi wa mtambo mpya wa kusafishia maji safi na salama katika Mahabusu ya Watoto iliyopo Upanga,jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni wafanyakazi wa Kampuni ya Davis&Shirtliff. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya DAVIS & SHIRTLIFF, Bw. Benjamin Munyao akimuonyesha Kamishna Wa Ustawi wa Jamii, Bw.… ...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AZINDUA MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WANANCHI WA SHEHIA YA JONGWE, JIMBO LA KIWANI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi mradi wa Maji safi na salama wa Wananchi wa Shehia ya Jongwe iliyomo ndani ya Jimbo la Kiwani, Wilaya ya Mkoni, Mkoa wa Kusini Pemba. Balozi Seif Ali Iddi akiutembelea mradi wa ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wkilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba iliyopo katika Kijiji cha Mkanyageni kuona harakati za maendeleo ya ujenzi wake unaofanywa na Kampuni ya Ruuns. Mhandisi wa Ujenzi wa Kampuni ya Runs Bwana Mohammed Hamad...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU AMKABIDHI RC MAKONDA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO KWA AJILI YA KUWAKINGA WANANCHI NA CORONA.

 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu (katikati),akionesha mfano wa kunawa katika moja ya matenki 1000 aliyoyakabidhi kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salama kwa niaba ya mikoa mingine wak ajili ya wananchi kunawa mikono kujikinga na maambukizi ya COVID 19,Pichani kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam,Paul Makonda Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto MheUmmy Mwalimu akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari mapema leo jijini Dar,wakati...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je kuvua nguo zote unapoingia nyumbani na kusafisha vyakula ulivyonunua kunasaidia kukabiliana na virusi hivi?

Wakati huu virusi vya corona ni njia gani sahihi ya kuosha matunda, mbaogamboga na hata nguo?

 

11 years ago

Michuzi

TAI YATOA MAFUNZO KWA VITENDO JUU YA KUNAWA MIKONO NA KUSAFISHA KINYWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KILIMANI JIJINI DAR

Taasisi isiyo ya kiserikali ya TAI - Tanzania Aspiration Initiatives imefanya mafunzo ya kulinda afya kwa vitendo kwa wanafunzi Zaidi ya 200 wa Darasa la Kwanza, la pili na darasa la awali katika shule ya msingi Kilimani iliyopa Sinza Uzuri wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam ikiwa ni muendelezo wa miradi miwili inayojulikana kama Mikono Ming’avu (MiMi) na Kinywa Kisafi (KiKi).
Miradi yote ina lengo kuu la kupambana na magonjwa yanayoweza kuzuilika kama Magonjwa ya tumbo na...

 

5 years ago

Michuzi

WATENGENEZAJI VITAKASA MIKONO JIJINI TANGA WATAKIWA KUZINGATIA MAHITAJI HALISI YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA HIZO KUKABILIANA NA CORONA

Na Mashaka Mhando, Tanga .

WATENGENEZAJI wa vitakasa mikono Jijini Tanga, wametakiwa kuzingatia mahitaji halisi ya utengenezaji wa bidhaa hizo ili ziweze kukabiliana na virusi vya Covid 19.

Akitoa maelekezo hayo kwenye semina iliyoandaliwa na shirika la msaada wa kisheria mkoani hapa la (TAWOREC), Mfamasia wa Jiji Ali Hamza alisema ni lazima vitakasa mikono viwe na vilevi (alcohol) kuanzia wastani wa asilimia 70 ili viweze kuuwa virusi hivyo katika mikono.

"Tunawasihi watengenezaji wa Sanitizer...

 

11 years ago

Michuzi

TAI YATOA MAFUNZO KWA VITENDO JUU YA KUNAWA MIKONO NA KUSAFISHA KINYWA KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KILIMANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Tanzania Aspiration Initiatives - TAI Bw. Gwamaka Mwabuka akitoa maelekezo kwa mwanafunzi wa darasa la pili shule ya Msingi Kilimani Juma Abdul jinsi ya kunawa mikono kwa usahihi ili kuipeka magonjwa. Wanaoshuhudia ni baadhi ya wanafunzi toka Denmark waliopata mualiko na TAI kupitia taasisi ya Global Platform.    Wanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi Kilimani wakijifunza kwa vitendo jinsi ya kusafishwa kinywa na kuepukana na magonjwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi Ngudu na matarajio ya kufaidi maji safi na salama

MAJI ni moja ya huduma za muhimu na za msingi kwa maisha ya binadamu. Mbali ya maji kutumika katika shughuli za kila siku za mwanadamu, mifugo na wanyamapori, pia ni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Changamoto ya kuosha mikono wakati kuna uhaba wa maji

Fahamu namna ya kuhifadhi maji kwa matumizi ya baadaye

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani