Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI SEIF AZINDUA MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WANANCHI WA SHEHIA YA JONGWE, JIMBO LA KIWANI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi mradi wa Maji safi na salama wa Wananchi wa Shehia ya Jongwe iliyomo ndani ya Jimbo la Kiwani, Wilaya ya Mkoni, Mkoa wa Kusini Pemba. Balozi Seif Ali Iddi akiutembelea mradi wa ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wkilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba iliyopo katika Kijiji cha Mkanyageni kuona harakati za maendeleo ya ujenzi wake unaofanywa na Kampuni ya Ruuns. Mhandisi wa Ujenzi wa Kampuni ya Runs Bwana Mohammed Hamad...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mradi wa maji safi na salama wazinduliwa Kiwani, Pemba

AFISA Mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na watoto Pemba Mhe: Mauwa Makame Rajab, akikunjuwa kitambaa kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji safi na salama huko Kiwani, ulijengwa kwa nguvu za Serikali na kugharimu zaidi ya Milioni 82.AFISA mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto Pemba Mhe:Mauwa Makame Rajab, akizungusha koki ya maji kuashiria uzinguzi wa mradi wa maji katika shehia ya kiwani, uliojengwa kwa nguvu za Serikali ambapo...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AZINDUA MRADI WA MAJI NA SALAMA KASKAZINI UNGUJA

 Balozi Seif Ali Iddi akizindua Mradi wa Maji safi na salama katika kisiwa cha Tumbatu ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964. Balozi Seif akimtwisha ndoo ya Maji Bibi Miza Ali Haji mara baada ya kuuzindua mradi wa maji safi na salama katika kisiwa cha Tumbatu kiliopo Mkoa wa Kaskazini Unguja.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Wananchi wa Kisiwa cha Tumbatu waliohudhuria uzinduzi wa maji safi na...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI SAFI MKOANI LINDI,AWAAGA WANANCHI WA LINDI


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji safi katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji safi katiaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi.
 Sehemu ya Chotea kama inavyoonekana pichani katika mradi mkubwa wa maji safi katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi,mradi huu ukikamilika utaweza kutoa lita milioni...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AZINDUA UVUNAJI WA MATIKITI MAJI NA PILIPILI BOGA, SHEHIA YA DONGE MCHANGANI


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizindua uvunaji wa matikiti maji kwa wakulima wa shehia ya Donge Muwanda.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na badhi ya wakulima wa Donge Mchangani na Muwanda, Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “A” (kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Affan Othman Maalim (wa pili kushoto). Picha na OMKR.

              Na: Hassan Hamad (OMKR)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi atembeela Kijiji cha Mvuleni Shehia ya Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mvuleni Shehia ya Kidoti Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja kuhusiana na masuala ya huduma za maji na umeme.Kulia ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Nd. Haji Juma Haji, kushoto yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mh. Pemba Juma Khamis na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar { ZAWA } Dr. Mustafa Garu. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi Ngudu na matarajio ya kufaidi maji safi na salama

MAJI ni moja ya huduma za muhimu na za msingi kwa maisha ya binadamu. Mbali ya maji kutumika katika shughuli za kila siku za mwanadamu, mifugo na wanyamapori, pia ni...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AKIZINDUA MRADI WA MAJI SAFI,PEMBA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, alipofika eneo la Vikunguni kwa ajili ya kuzindua mradi wa maji safi na salama katika eneo hilo.Bango la mradi wa maji Vikunguni baada ya kuzinduliwa rasmi kwa mradi huo.Baadhi ya wananchi pamoja na wakandarasi wa kampuni ya SINO-HYDRO LTD ya China, wakimsikiliza Maalim Seif wakati akiwahutubia wakati wa uzinduzi wa mradi huo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika hafla ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KUKAGUA NA KUKABIDHI MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA WA CHWAKA, UNGUJA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Chwaka, Unguja, wakati alipofika kutembelea kukagua na kukabidhi Mradi wa Maji safi na salama wa Chwaka, leo Sept 12, 2015. Picha na OMRMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Fundi mkuu wa Tanki la maji, Yohana Mkoloma, wakati alipotembelea kukagua Mradi wa Maji safi na Salama wa Chwaka, Unguja leo Sept 12,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani