WAJASIRIAMALI WATAKIWA KUJIKINGA DHIDI YA MAGONJWA YA MLIPUKO
Na.Catherine Sungura-Chato
Wajasiliamali wote nchini wametakiwa kujikinga dhidi ya magonjwa ya milipuko wanapofanya biashara zao ndani na nje ya nchi
Elimu hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Zainabu Chaula wilayani hapa kwenye kongamano la wajasiriamali lililoandaliwa na Chama cha Wanataaluma Waadventista Tanzania (ATAPE).
Amesema kongamano hilo la wajasiriamali, ni tendo jema lenye baraka, "nimekuwa kwenye ziara mikoa ya kigoma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKIWANDA CHA A TO Z KIPO MBIONI KUTENGENEZA VAZI LA WATAALAMU WA AFYA LA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MLIPUKO
amanda wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha Jonathan Shana akipokea barakoa 2000 kwa ajili ya Jeshi la Polisi mkoani Arusha zilizotolewa na Kampuni ya A to Z ya mkoani hapa ikiwa ni kuendeleza Juhudi za Serikali kwenye mapambano dhidi ya Ugonjwa wa homa Kali ya mapafu Covid 19 picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha
Viongozi wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wakifuatilia hafla ya kupokea vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa Kali ya mapafu Covid 19 iliyofanyika kwenye Ukumbi wa...
11 years ago
Mwananchi26 Dec
Buguruni wahofia magonjwa ya mlipuko
9 years ago
Habarileo07 Nov
Bahi wahadharishwa magonjwa ya mlipuko
MKUU wa Wilaya ya Bahi, Francis Mwonga, ametaka wananchi kuchukua tahadhari dhidi magonjwa ya mlipuko yanayoweza kujitokeza katika kipindi hiki cha majanga yanayotokana na mvua.
11 years ago
GPLMAGONJWA YA MLIPUKO YANUKIA DAR
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Wakazi Tungi wahofia magonjwa ya mlipuko
WAKAZI wa Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, wamekumbwa na hofu ya kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Moruwasa) kutowapatia majisafi na salama...
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Simu kutumika taarifa za magonjwa ya mlipuko
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Wanafunzi hatarini kupata magonjwa ya mlipuko Geita
9 years ago
StarTV28 Dec
Wakazi wa Songea waingia lawamani kwa magonjwa ya mlipuko
Wananchi Mkoani Ruvuma wametakiwa kuweka uchafu kuwa adui wao mkubwa na kuufanya usafi uwe rafiki wa kila wananchi ili kuepukana na kisababisho kikubwa cha kifo ambacho ni uchafu.
Kamanda wa Police Mkoani Ruvuma Mihayo Msekhela ameyasema hayo wakati akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu katika kutekeleza adhima ya kufanya uasafi kila suku ya jumamosi ya mwisho wa Mwezi
Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela amesema kila mwananchi anatakiwa auchukie uchafu...