WAZIRI MKUU AHIMIZA WANANCHI KUEPUKANA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA KUPIMA AFYA ZAO NA KUZINGATIA MTINDO BORA WA MAISHA
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na umati wa watu waliokisanyika katika banda la NHIF juu ya umuhimu wa watu kupima afya zao mara kwa mara na kuzingatia kanuni bora za maisha ili kuepuka maginjwa yasiyoambikiza ambayo mengi husababishwa na unene uliokithiri. Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF kuhusu huduma zinazotolewa na banda la NHIF katika Maonesho ya Wiki ya Serikali za Mitaa viwanja vya Mashujaa Mtwara.
Msururu wa wananchi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuziprogramu ya upimaji wa Afya kwa wananchi kwa magonjwa yasiyoambukiza
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Wananchi wahimizwa kujitokeza kwa wingi kupima afya zao kuelekea siku ya Ukimwi Desemba
Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI nchini Tanzania Dkt. Fatma Mrisho akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani mwaka huu ambayo inaadhimishwa kwa kuwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupima afya zao na kupata elimu ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa huo.
Na. Nyakongo Manyama- MAELEZO.
[DAR ES SALAAM] Wito umetolewa kwa wananchi kote nchini kuyatumia maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ccUiA8-KL-I/VlRqQG14fVI/AAAAAAAIIPk/LDJmrlZ-KQA/s72-c/TACAIDS%2B-%2B0.jpg)
WANANCHI WAHIMIZWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUPIMA AFYA ZAO KUELEKEA DESEMBA MOSI, 2015.
![](http://2.bp.blogspot.com/-ccUiA8-KL-I/VlRqQG14fVI/AAAAAAAIIPk/LDJmrlZ-KQA/s640/TACAIDS%2B-%2B0.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-G7TA2xAGnlc/VlRqQGeZ-tI/AAAAAAAIIPg/oh0O7jT4GMk/s640/TACAIDS.jpg)
Na...
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATOA ELIMU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA WAANDISHI WA HABARI
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Wafanyakazi TBL Group waadhimisha Siku ya UKIMWI duniani kwa kupima afya zao
Mfanyakazi wa Kampuni ya TBL; kiwanda cha kuzalisha pombe kinywaji aina ya Chibuku kilichopo Ubungo Dar es Salaam,Reocatus Hanania akipewa ushauri nasaha na akimsikiliza mtoa ushauri nasaha kutoka Kampuni ya bima ya Afya ya Metropolitan; Aurelia Kanambi kabla ya kupima Virusi vya Ukimwi ikiwa ni sehemu ya maadhimishao ya siku ya Ukimwi Duniani. TBL kila mwaka ambapo Kampuni ya kutengezea bia (TBL) hiyo kila mwaka huadhimisha siku hiyo kwa kualika wataalamu wa afya kwa ajili ya kutoa...
11 years ago
Mwananchi09 May
Mtindo bora wa maisha unavyoleta mageuzi kiafya
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Watanzania watakiwa kupima afya zao
WAZIRI wa Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Seif Rashid, amewataka Watanzania kujijengea utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara badala ya kusubiri wafikie dalili za ugonjwa hatua mbaya....
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Madiwani watakiwa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Joseph Muhumba, ametoa wito kwa madiwani kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili na kupata tiba mapema sambamba na...
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Wanawake waaswa kupima afya zao
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa (UWT), Zainab Mwamwindi, ametoa wito kwa wanawake mkoani hapa kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili...