Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadai rasilimali walizonazo haziendani na maisha yao.

Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro mkoani hapa umesema pamoja na hifadhi ya Bonde la Ngorongoro kutajwa kama urithi wa dunia, wakazi wa wilaya hiyo bado wanaishi katika lindi la umaskini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wachina wa ‘samaki wa magufuli’ wadai meli yao

RAIA wa China waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuvua samaki kinyume cha sheria, wamewasilisha barua kwa Msajili wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, kutaka warudishiwe Meli ya Tawariq 1 na samaki waliopokewa mahakamani kama vielelezo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wadai kulawitiwa, kutishiwa maisha Kigamboni

Wanafunzi wenye umri kati ya miaka 9 hadi 12 katika Shule ya Msingi Kivukoni iliyopo Kigamboni wanalawitiwa na vijana wa mitaani na kutishiwa maisha iwapo watatoa taarifa za kufanyiwa vitendo hivyo, uchunguzi wa gazeti hili umebaini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanachi walalamikia ugumu wa maisha licha ya kuwa na rasilimali za kutosha

IMG-20150126-WA0033

William Mungai (wa pili kushoto) ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini akimpokea Makamu mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mh. Ole SOSOPI (katikati).

IMG-20150126-WA0034

Makamu mwenyekiti wa BAVICHA Taifa  Mh.Ole SOSOPI akiwahutubia wananchi katika jimbo la Mufindi kaskazini.

IMG-20150126-WA0035

William Mungai ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mufindi kusini ambako anatarajia kugombea ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA.

Na Fredy Mgunda

Wananchi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaume wanahatarisha maisha yao kiafya

Wasomaji wa Piramidi ya afya, mwaka mpya na mambo mapya. Baada ya kuongelea mambo mengi yanayomhusu mama na mtoto kwa takriban miaka miwili, sasa tunamgeukia baba (mwanaume).

 

10 years ago

Habarileo

Madereva waaswa, ulevi ni hatari kwa maisha yao

Askari Mkunde Said akimpima kiwango cha pombe dereva wa basi la mikoani, Emanuel Mkulangya kwa kutumia kifaa maalumu ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani ya kudhibiti ajali, mkoani Mbeya juzi. (Picha kwa hisani ya Vodacom).MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria, kutotumia vinywaji vyenye ulevi na kuacha tabia ya kuongea na simu kwa kutuma au kupokea ujumbe wa maneno wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.

 

9 years ago

Mwananchi

Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa dada yao

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida, imemuhukumu Mkazi wa Veta Kata ya Mandewa, Ramadhan John (20) na mdogo wake, Karim (18) kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka kwa zamu mtoto wa kike wa dada yao (9).

 

9 years ago

Mwananchi

Ripoti: Bidhaa za Afrika haziendani na soko la dunia

Maendeleo ya viwanda barani Afrika yanazidi kushuka kutokana na uingizwaji bidhaa nyingi kutoka Ulaya, imeelezwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Taifa liwaenzi mashujaa wake kabla na baada ya maisha yao

Tanzania na nchi za Kusini mwa Afrika kwa ujumla hivi sasa zipo katika maombolezo ya kifo cha mmoja wa mashujaa wake, Brigedia Jenerali Hashim Mbita kilichotokea Dar es Salaam juzi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wasioona waliofunga pingu za maisha wasimulia safari yao ya mapenzi

Mpiga picha wa India alipiga picha za wapenzi ambao mapenzi hayakuangalia muonekano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani