Wachina wa ‘samaki wa magufuli’ wadai meli yao
RAIA wa China waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuvua samaki kinyume cha sheria, wamewasilisha barua kwa Msajili wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, kutaka warudishiwe Meli ya Tawariq 1 na samaki waliopokewa mahakamani kama vielelezo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Aug
Wachina wa 'Samaki wa Magufuli’ waachiwa
BAADA ya kusota rumande kwa miaka mitano hatimaye raia wawili wa China waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuvua samaki katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania bila kibali wameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
11 years ago
Habarileo01 Apr
Wachina wa ‘samaki wa Magufuli’ kortini tena
RAIA wawili wa China walioachiwa huru wiki iliyopita katika kesi ya uvuvi haramu, wamepandishwa kizimbani tena wakikabiliwa na mashitaka ya kuvua samaki katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania bila kibali.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar27 Sep
Serikali yaamriwa kulipa meli, `samaki wa Magufuli`
me » News Serikali yaamriwa kulipa meli, `samaki wa Magufuli` BY HELLEN MWANGO 26th August 2014 Email Print Dk. John Magufuli Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamuru Serikali ya Tanzania kulipa meli ya uvuvi pamoja na […]
The post Serikali yaamriwa kulipa meli, `samaki wa Magufuli` appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hhL0MdDLp-U/UzWbuh4jAFI/AAAAAAAFXCY/kVZU6FZ3L-c/s72-c/8.jpg)
News alert mahakama ya rufaa yawaachia huru wachina wawili waliofungwa kwa kosa la kuvua samaki nchini kinyume na sheria
![](http://1.bp.blogspot.com/-hhL0MdDLp-U/UzWbuh4jAFI/AAAAAAAFXCY/kVZU6FZ3L-c/s1600/8.jpg)
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Wadai rasilimali walizonazo haziendani na maisha yao.
10 years ago
Mtanzania26 Aug
Wachina wa Magufuli waidai Serikali trilioni 1.3/-
![Waziri John Magufuli](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/John-Magufuli.jpg)
Waziri John Magufuli
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WACHINA wa ‘samaki wa Magufuli’ walioachiwa huru wanadai meli na samaki zilizokuwamo, ambavyo vyote vina thamani ya Dola za Marekani 3,220,000.
Mbali na kutakiwa kulipa fedha hizo, pia inatakiwa kulipa Sh trilioni 1.3 ikiwa ni gharama zote, ikiwamo meli, samaki, mawakili na mabaharia wake.
Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana na Wakili wa Wachina hao, Kapten Ibrahim Bendera na Wakili John Mapinduzi, walipokuwa wakizungumzia hatima ya madai...
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Washitakiwa samaki wa Magufuli washinda rufaa
MAHAKAMA ya Rufaa Dar es Salaam, imetengua adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela na faini ya sh bilioni 22 iliyotolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Februari...
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Aibu ya samaki wa Magufuli iwe funzo gani kwetu
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Meli ya Rais Magufuli yang’oa nanga; tufani, nyangumi wamngojea
MASIKINI Rais, John Magufuli, anachukua uongozi wa nchi katikati ya bahari iliyochafuka kwa tufan
Joseph Mihangwa