VIGEZO 7 MUHIMU KWA MWENZA SAHIHI WA MAISHA YAKO!
![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuBz7eaw5UZkV0b-C9peBZ4*WbDyiazI0pN7IXhtvmhcvbpDx7wEN*OdROThOpUDxA75Mqk9zpX*UU*IPqJwa-1p/mahaba.gif?width=650)
MARA nyingi tunapofikiria namna ya kumpata mwenza sahihi, huwa tunaangalia ishu ya kumpata yule mwenye mapenzi ya dhati lakini kumjua anayekupenda kwa dhati ni vigumu sana. Ndiyo maana hapa chini nimekupa vigezo saba vya mtu anayekupenda kwa dhati na anafaa kuwa mwenza wako endapo mtakuwa tayari mmeshaanzisha uhusiano wa kawaida. Mguso wa hisia Hakika mapenzi ni mguso wa hisia, kwa maana hiyo kigezo kikuu cha kuzingatia kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo04 Jun
IGEZO 7 MUHIMU KWA MWENZA SAHIHI WA MAISHA YAKO!
![](http://api.ning.com/files/sbS3oDiupKCGu6zIuzMR5Mvo7p-cfZXmYOkBV6pwpuxa4ZwLE5d8tr6t5jMd7E6PpNYi4ZYNZzPFK7OHvsexPJKq0WKa*v3I/valentinesdayresolutionsforcouples.jpg?width=550)
Ndiyo maana hapa chini nimekupa vigezo saba vya mtu anayekupenda kwa dhati na anafaa kuwa mwenza wako endapo mtakuwa tayari mmeshaanzisha uhusiano wa kawaida.
Mguso wa hisia
Hakika mapenzi ni mguso wa hisia, kwa maana hiyo kigezo kikuu cha kuzingatia kwa mtu anayestahili kuwa mwenzi wako wa ndoa ni vile ambavyo hisia zake...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-f4abLxE1Pt0/VebLc6C5jiI/AAAAAAAH1ww/vbveGdyg4Mo/s72-c/download.jpg)
KUCHAMGUA RAIS DINI NA UTAJIRI SI VIGEZO MUHIMU KWA WAPIGA KURA DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-f4abLxE1Pt0/VebLc6C5jiI/AAAAAAAH1ww/vbveGdyg4Mo/s320/download.jpg)
Matokeo haya yametolewa na Twaweza kwenye muhtasari wa utafiti wenye jina la Je, Wanajua? Takwimu kuhusu uelewa wa wapiga kura. Muhtasari umetokana na Sauti za Wananchi,...
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Unajua kuwa sanaa yako inajumuisha maisha yako binafsi?
11 years ago
Mwananchi05 Jan
Je, unaweza kuyakabili matatizo yasiathiri furaha yako na maisha yako?
5 years ago
BBCSwahili09 Mar
Coronavirus: Kwa nini shirika la afya duniani linasema hatua ya kujishika uso ni hatari kwa maisha yako?
9 years ago
Habarileo24 Oct
Takwimu sahihi zatajwa kuwa muhimu
OFISI ya Taifa ya Takwimu imesema takwimu sahihi zina umuhimu mkubwa kutokana na kuwa chanzo kikuu cha kupima kasi ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
9 years ago
Dewji Blog20 Sep
Tundu Lissu ahujumiwa jimboni kwake: Shule ya Msingi Taru yakosa usajili licha ya kuwa na vigezo muhimu vya awali
Jengo la madarasa wanayotumia wanafunzi wa darasa la pili na la tatu kutokana na upungufu wa vyumba vya madarasa katika shule hiyo.
Na.Jumbe Ismailly
[Ikungi, Singida]Shule ya msingi Taru namba saba iliyopo kata ya Sambaru, tarafa na wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida haijasajiliwa kwa kipindi cha miaka sita sasa, hali inayochangia wanafunzi wa darasa la nne kutembea umbali wa kilomita 22 kwenda kufanya mtihani wa kuingia darasa la dano katika shule mama ya Sambaru.
Mwenyekiti wa Kijiji cha...
9 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-22VHIvaaVCo/VihiHnaAMMI/AAAAAAAAnHc/Tqk11ZT3NRY/s1600/1.jpg)
MAMBO YATAKAYOSABABISHA KURA YAKO IWE IMEHARIBIKA AU SAHIHI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LMZbfjT5Z7OY24aLM2d7-jlifdZEgCOlHLZetzbgnOLhOFQWE6dd*yyEzN43VYYxBkKSLVjDcxGUXcPvVTTdv2qK4JXfoGA0/mahaba.jpg?width=650)
SIRI USIZOZIJUA ZA MWENZI SAHIHI WA MAISHA!