Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUCHAMGUA RAIS DINI NA UTAJIRI SI VIGEZO MUHIMU KWA WAPIGA KURA DAR ES SALAAM


ASILIMIA 46 ya wananchi wameripoti kuwa sera ndio kigezo muhimu watakachokitumia kumchagua Rais. Vigezo vingine vilivyotajwa na wananchi wengi ni uadilifu na maadili (17%). Hakuna mtu hata mmoja aliyetaja dini au utajiri kama kigezo muhimu cha kumchagua Rais na kigezo cha umri kilitajwa na asilimia moja tu ya wananchi.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza kwenye muhtasari wa utafiti wenye jina la Je, Wanajua? Takwimu kuhusu uelewa wa wapiga kura. Muhtasari umetokana na Sauti za Wananchi,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Uandikishaji wapiga kura Dar es Salaam.

Tume ya taifa ya uchaguzi ya Tanzania, imeongeza muda wa uandikishaji wapiga kura jijini Dar es salaam kwa siku 4, mpaka Agost 4.

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKAMILISHA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU MKOA WA DAR ES SALAAM KWA MAFANIKIO MAKUBWA


Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kukamilika kwa zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari la Kudumu kwa kutumia mfumo wa BVR Mkoani Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani zoezi hilio limefanikiwa kwa kiasi kikubwa licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali zilizojitokeza.

 

10 years ago

Mwananchi

Dar es Salaam yapangiwa siku 12 uandikishaji wapiga kura

>Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeweka hadharani ratiba nzima ya uandikishaji wapigakura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) huku mkoa wa Dar es Salaam ukipangiwa siku 12  tofauti na mwezi mmoja uliotumika katika mikoa mingine.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU IKULU, DAR ES SALAAM‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  katika futari aliyowaandalia ikulu jijini Dar es salaam. Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es… ...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJIJI LA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTALI LA WAPIGA KURA.

 Wananchi wajitokeza kujiandikisha katika Daftari la wapiga kura Kutoka kushoto ni Mzee Thomas Fulla akijiandikisha katika daftari la wapiga kura katika kituo  cha Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam leo, Kulia aliyekaa ni  Mwandikishaji msaidizi,Hawa Bushiri na Mwongozaji wa kutumia mashine za (BVR), Biometric Vote Registration Salimu Said. Mzee Thomas Fulla akijiandaa kupiga picha kwaajili ya kupata kitambulisho cha kumwezesha kupiga kura mwaka 2015,wakati wa kujiandikisha katika daftari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Takwimu muhimu kuhusu wapiga kura Tanzania

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania imetoa takwimu kuhusu wapiga kura wanaotarajiwa kushiriki uchaguzi mkuu Jumapili Oktoba 25.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA DINI JIJINI DAR ES SALAAM


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani