Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA DINI JIJINI DAR ES SALAAM


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua mkutano wa wakuu wa Utumishi wa Umma wa jumuiya ya madola jijini Dar es Salaam

1.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani Afraik jana (Jumatatu Julai 13, 2015) Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa siku 3 unatarajia kufungwa Jumatano Julai 15, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Celina Kombani na Naibu Katibu Mkuu wa Jumiya hiyo, Bi. Josephine Ojiambo.

2.

Naibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof....

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Septemba 2, 2015   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA TANZANIA (TNBC) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015..  Washiriki wa  mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015.   Rais Kikwete katika picha ya pamoja na watumishi wa  TNBC...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA TANZANIA (TNBC) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
 Rais Kikwete akiongoza mkutano wa nane wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015. Wengine toka kulia ni Katibu Mkuu...

 

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA TANZANIA (TNBC) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015…

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MFUMO WA TAKWIMU HURIA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na washiriki (hawapo pichani) wa Mkutano wa Kimataifa wa Mfumo wa Takwimu Huria Barani Afrika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake Rais Kikwete alisema jukumu la utoaji wa taarifa kwa umma si kwa serikali pekee bali hata kwa Sekta binafsi pamoja na taasisi zingine zisizokuwa za serikali zinatakiwa kufuata mfumo huo ili kuleta maendeleo katika nchi husika. Mkutano huo ambao unaudhuriwa na mamia ya...

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi wa Dini Mbalimbali wamuombea dua Rais Kikwete leo Ikulu, Dar es salaam

 Viongozi wa Dini wakimuombea dua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati walipomtembelea kumjulia hali na kumuombea jioni hii Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Kimataifa wa Lishe Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wanaoshiriki mkutano unaohiusu lishe bora unaoratibiwa na Sun Lead Group's Visioning Sub Group(VSG) uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo. Rais Kikwete akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kufungua mkutano unaohusu lishe uliowakutanisha wataalamu wa lishe kutoka mataifa mbalimbali uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro).

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU IKULU, DAR ES SALAAM‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  katika futari aliyowaandalia ikulu jijini Dar es salaam. Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani