Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU IKULU, DAR ES SALAAM‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  katika futari aliyowaandalia ikulu jijini Dar es salaam. Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA YATIMA, WALEMAVU WA NGOZI NA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM‏

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni…

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aandaa futari kwa yatima, walemavu wa ngozi na watoto waishio kwenye mazingira magumu ikulu Dar es salaam

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniRais Kikwete akipakua futari  na wageni wake Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS SHEIN AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI NA WAWAKILISHI IKULU ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na  Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kujumuika katika futari ya pamoja iliyoandaliwa kwa viongozi mbali mbali wakiwemo , Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho na Wawakilishi wa CCM. Hafla imefanyika punde baada ya kuvunjwa Baraza la Wawakilishi jana jioni Sehemu ya waalikwa katika futari ya pamoja...

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi wa Dini Mbalimbali wamuombea dua Rais Kikwete leo Ikulu, Dar es salaam

 Viongozi wa Dini wakimuombea dua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati walipomtembelea kumjulia hali na kumuombea jioni hii Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO TANZANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania wakiwasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2015  kuonana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyewakaribisha ili kuwasikiliaza matatizo yao na kujadiliana nao mikakati ya namna ya kukomesha ukatili na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini​.
Rais Kikwete akisalimiana na ​Viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AANDAA FUTARI NYUMBANI KWAKE DAR ES SALAAM‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum alipowasili kwenye makaazi ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda (nyuma yao) Oysterbay jijini Dar es salaam kwa ajili ya Futari jana Jumamosi Julai 26, 2013. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na wa pili kulia ni Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova…
...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA BAGAMOYO

Baadhi ya wananchi wa Bagamoyo wakiswali swala ya Magharibi wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akichota futari pamoja na wananchi wa Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA DINI JIJINI DAR ES SALAAM


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa  siku nne ulioanza jana  unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano  wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA MIKOA MIWILI YA PEMBA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  amewahimiza Waumini wa Dini ya Kiislamu Nchini kuendelea  kushikamana kwa lengo la kutekeleza maamrisho ya dini yao  kama inavyoagiza wakati wote. Balozi Seif alitoa himizo hilo kwa niaba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada  ya futari ya Pamoja iliyoandaliwa na Rais Kikwete kwa ajili  ya Wananchi wa Mikoa miwili ya Pemba hapo katika Majengo ya  Ikulu ya Mjini Wete,  Pemba Balozi Seif alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani