RAIS SHEIN AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI NA WAWAKILISHI IKULU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kujumuika katika futari ya pamoja iliyoandaliwa kwa viongozi mbali mbali wakiwemo , Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho na Wawakilishi wa CCM. Hafla imefanyika punde baada ya kuvunjwa Baraza la Wawakilishi jana jioni
Sehemu ya waalikwa katika futari ya pamoja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU IKULU, DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete aandaa futari kwa yatima, walemavu wa ngozi na watoto waishio kwenye mazingira magumu ikulu Dar es salaam




11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA YATIMA, WALEMAVU WA NGOZI NA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi
RAIS WA TFF AANDAA FUTARI KWA WADAU

Shughuli hiyo itafanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam ambapo waalikwa wataanza kuwasili saa 11.30 jioni.
Waalikwa katika futari hiyo wametoka katika makundi mbalimbali. Makundi hayo ni wadhamini, klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza za Dar es Salaam ambazo zitawakilishwa na watu wawili wawili.
Viongozi wa zamani wa TFF, Said El...
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA BAGAMOYO


11 years ago
Michuzi.jpg)
RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AANDAA FUTARI KWA WADAU
.jpg)
Waalikwa katika futari hiyo wametoka katika makundi mbalimbali. Makundi hayo ni wadhamini, klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza za Dar es Salaam ambazo zitawakilishwa na watu wawili wawili.
Viongozi wa zamani wa TFF, Said El...
11 years ago
Michuzi.jpg)
RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA MIKOA MIWILI YA PEMBA
5 years ago
CCM BlogWAZIRI SIMBACHAWENE AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN, IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Goerge Simbachawene, Ikulu jijini Zanzibar, leo. (Picha na Ikulu, Zanzibar)
5 years ago
Michuzi
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR IKULU


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, katika mkutano wa uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
