RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AANDAA FUTARI KWA WADAU
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameandaa futari kesho (Julai 17 mwaka huu) kwa wadau mbalimbali wa mpira wa miguu.
Shughuli hiyo itafanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam ambapo waalikwa wataanza kuwasili saa 11.30 jioni.
Waalikwa katika futari hiyo wametoka katika makundi mbalimbali. Makundi hayo ni wadhamini, klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza za Dar es Salaam ambazo zitawakilishwa na watu wawili wawili.
Viongozi wa zamani wa TFF, Said El...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziRAIS WA TFF AANDAA FUTARI KWA WADAU
Shughuli hiyo itafanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam ambapo waalikwa wataanza kuwasili saa 11.30 jioni.
Waalikwa katika futari hiyo wametoka katika makundi mbalimbali. Makundi hayo ni wadhamini, klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza za Dar es Salaam ambazo zitawakilishwa na watu wawili wawili.
Viongozi wa zamani wa TFF, Said El...
10 years ago
VijimamboRAIS WA TFF JAMAL MALINZI AMSHUKURU LEODGER TENGA
Aidha Malinzi ameishukuru Kamati ya Ndani ya Uendeshaji ya Michuano hiyo (LOC) kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuandaa na kuhakikisha michuano hiyo inafanyika na kumalizika katika hali ya usalama na amani. ...
11 years ago
Michuzi10 Apr
RAIS WA TFF JAMAL MALINZI ATUA BUKOBA LEO HII
11 years ago
GPLRAIS WA TFF JAMAL MALINZI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA FIFA USWISS
10 years ago
Michuzi24 Jan
RAIS WA TFF JAMAL EMIL MALINZI ATEMBELEA UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOBA
11 years ago
MichuziRAIS WA TFF JAMAL MALINZI AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA UONGOZI WAKE NDANI YA SIKU 100
9 years ago
MichuziRAIS WA TFF JAMAL MALINZI LEO AFUNGA FAINALI ZA MICHUANO YA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS
10 years ago
Dewji Blog29 Dec
Rais wa TFF Jamal Malinzi apokea jezi kutoka kampuni ya Proin kwaajili ya mashindano ya Women Taifa Cup
Mkurugenzi wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza (kushoto) akimkabidhi Jezi Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Malinzi kwaajili ya Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Wanawake yajulikanayo kama Taifa Women Cup yanayotarajiwa kutimbua vumbi tarehe 1 January 2015.
Na Josephat Lukaza – Lukaza Blog
Mkurugenzi wa makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza amkabidhi jezi Rais wa TFF, Mh Jamal Malinzi kwaajili ya michuano ya Mpira wa Miguu kwa Wanawake yajulikanayo kama Taifa...
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA BAGAMOYO