Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA TFF JAMAL MALINZI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA FIFA USWISS

Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamal Malinzi wakati alipomkaribisha kwenye Makao Makuu ya Shirikisho hilo, Uswiss. Kulia ni Katibu Mkuu wa FIFA, Bw. Jerome Valcke.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF,JAMAL MALIZI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA FIFA

Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA),Sepp Blatter (kushoto) akisalimiana na Rais wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi wakati alipomkaribisa kwenye Makao Makuu ya Shirikisho hilo,nchini Uswiss.Kulia ni Katibu Mkuu wa FIFA, Bw. Jerome Valcke

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL EMIL MALINZI ATEMBELEA UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOBA

Na Faustine Ruta, BukobaRais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Emil Malinzi wa pili kutoka (kushoto) akiongozana na Baadhi ya Viongozi wa Mpira hapa Nchini leo hii Mchana alipowasili katika Uwanja wa Kaitaba unaokarabatiwa kuwekwa Nyasi za Bandia. Bw. Jamal Emil Malinzi pia ndie Mwenyekiti wa chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA) alipowasili hapa Bukoba amezungumza na Viongozi wa Soka Mkoani hapa Kagera na baadae.Rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi pia aliambatana na...

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA RAIS WA TFF MAKAO MAKUU YA FIFA JIJINI ZURICH, SWITZERLAND


Sepp Blatter akiwa na Rais wa TFF, Jamal Emil Malinzi wakiwa wote na Katibu Mkuu wa FIFA, Bw. Jerome ValckeSepp Blatter akiwa na Rais wa TFF, Jamal Emil Malinzi, walipokutana Alhamis, tarehe 22 Mei, 2014 kwenye makao makuu ya FIFA, jijini Zurich, Switzerland.

 

11 years ago

Michuzi

FIFA KUBORESHA MAKAO MAKUU YA TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu duniani (FIFA) limeahidi kuboresha makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) yaliyoko kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala ili yawe katika kiwango cha kisasa ikiwa ni pamoja na kuwa na vitendea kazi na miundombinu ikiwa ni pamoja na upanuzi wa ofisi.
Hatua hiyo itaiwezesha TFF kuwa na mazingira bora ya kufanya shughuli zake kwa ufanisi.
Vilevile kupitia programu zake mbalimbali ikiwemo ile ya Goal, FIFA imeahidi kushirikiana na TFF...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AMSHUKURU LEODGER TENGA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi amemshukuru Rais wa CECAFA, Leodgar Tenga kwa kuipa Tanzania uenyeji wa mashindano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) iliyomalizika jana kwa klabu ya Azam FC kutawazwa Mabingwa wapya wa michuano hiyo.
Aidha Malinzi ameishukuru Kamati ya Ndani ya Uendeshaji ya Michuano hiyo (LOC) kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuandaa na kuhakikisha michuano hiyo inafanyika na kumalizika katika hali ya usalama na amani. ...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI ATUA BUKOBA LEO HII

Mwenyekiti wa chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Kagera (KRFA) Jamal Emil Malinzi amewasili leo Alhamis tarehe 10-4-2014 saa nne asubuhi katika Uwanja wa ndege wa Bukoba Mjini na kupokelewa na Wadau wengi, Huku ikiwa ni mara ya kwanza tangu achaguliwe Rais wa TFF.  Bw. Jamal Malinzi baada ya kutua amezungumza na Viongozi wa Soka Mkoani hapa Kagera na baadae kuhudhulia Kikao cha kamati Tendaji ya KRFA na siku inayofuata utakuwepo mkutano mkuu wa KRFA. Kulia ni Bw. Pelegrinius .A. Rutayuga,...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AANDAA FUTARI KWA WADAU

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameandaa futari kesho (Julai 17 mwaka huu) kwa wadau mbalimbali wa mpira wa miguu.
Shughuli hiyo itafanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam ambapo waalikwa wataanza kuwasili saa 11.30 jioni.
Waalikwa katika futari hiyo wametoka katika makundi mbalimbali. Makundi hayo ni wadhamini, klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza za Dar es Salaam ambazo zitawakilishwa na watu wawili wawili.
Viongozi wa zamani wa TFF, Said El...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA UONGOZI WAKE NDANI YA SIKU 100

 Rais wa shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF Ndugu Jamal Malinzi katikati akizungungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam leo juu ya mafanikio ya uongozi wake kwa siku mia moja toka waingie madarakani, Kulia ni Afisa habari wa TFF Bonifas Wambura na kushoto ni Mshauri wa ufundi Bwana Rutayunga Peregenus  Pichani ni baadhi ya Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia mkutano huo uliofanyika leo ndani ya moja ya ukumbi wa hotel ya Kempisk Hyatt Regence...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI LEO AFUNGA FAINALI ZA MICHUANO YA KOMBE LA AIRTEL RISING STARS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi leo amefunga fainali za michuano ya kombe la Airtel Rising Stars katika uwanja Karume jijini Dar es salaam.Akiongea kwakati wa ufungaji michuano ya airtel mbele ya halaiki ya vijana walioshirki michuano hiyo, Malinzi ameishukuru kampuni ya simu ya Airtel kwa kuendelea kudhamini michuano hiyo ambayo inawapa nafasi vijana ya kucheza mpira na kuonekana na baadae kujipatia ajira.“Lengo la TFF ni kushirki fainali za Olimpiki za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani