Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FIFA KUBORESHA MAKAO MAKUU YA TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu duniani (FIFA) limeahidi kuboresha makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) yaliyoko kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala ili yawe katika kiwango cha kisasa ikiwa ni pamoja na kuwa na vitendea kazi na miundombinu ikiwa ni pamoja na upanuzi wa ofisi.
Hatua hiyo itaiwezesha TFF kuwa na mazingira bora ya kufanya shughuli zake kwa ufanisi.
Vilevile kupitia programu zake mbalimbali ikiwemo ile ya Goal, FIFA imeahidi kushirikiana na TFF...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF,JAMAL MALIZI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA FIFA

Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA),Sepp Blatter (kushoto) akisalimiana na Rais wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi wakati alipomkaribisa kwenye Makao Makuu ya Shirikisho hilo,nchini Uswiss.Kulia ni Katibu Mkuu wa FIFA, Bw. Jerome Valcke

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA RAIS WA TFF MAKAO MAKUU YA FIFA JIJINI ZURICH, SWITZERLAND


Sepp Blatter akiwa na Rais wa TFF, Jamal Emil Malinzi wakiwa wote na Katibu Mkuu wa FIFA, Bw. Jerome ValckeSepp Blatter akiwa na Rais wa TFF, Jamal Emil Malinzi, walipokutana Alhamis, tarehe 22 Mei, 2014 kwenye makao makuu ya FIFA, jijini Zurich, Switzerland.

 

11 years ago

GPL

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA FIFA USWISS

Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamal Malinzi wakati alipomkaribisha kwenye Makao Makuu ya Shirikisho hilo, Uswiss. Kulia ni Katibu Mkuu wa FIFA, Bw. Jerome Valcke.

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa atikisa makao makuu ya CCM

MTZ jmosi new.inddLissu, Sumaye, Mnyika wamshambulia Warioba kwa unafiki

NA MAREGESI PAUL, DODOMA

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, jana alitikisa mji wa Dodoma ambao ni Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Tukio hilo lilitokea wakati wa mkutano wa kampeni za urais za mgombea huyo ambapo maelfu ya wananchi wa Dodoma walihudhuria mkutano huo uliofanyika katika Viwanja vya Barafu mjini hapa.

Kabla ya mkutano...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

RC alilia makao makuu yahamie Dodoma


NA THEODOS MGOMBA, DODOMA.
WAUMINI  na viongozi wa dini mkoani hapa, wameombwa kuomba dua maalum ili azma ya  serikali ya kuhamishia makao makuu  Dodoma itimie.
Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi, alipokuwa akitoa salamu za mkoa kwenye mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa wanawake (UWT).
Mkuu huyo wa mkoa alisema ni vyema sasa kukawa na dua maalumu la kuombea uhamisho wa makao makuu kuwa Dodoma, kwani umekuwa wa muda mrefu sasa.
Alisema azma hiyo ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Pakistan yavamia makao makuu ya Upinzani

Wanajeshi wa angani wa Pakistan wametekeleza msako na shambulio lisilo la kawaida katika makao makuu ya chama kikuu mjini Karachi MQM

 

10 years ago

Mwananchi

Dodoma,makao makuu yasiyo na ukuu

Sauti za watu zimeendelea kupazwa juu ya heshima ya mji wa Dodoma, kwa namna unavyokosa heshima na mvuto kama sehemu ya makao makuu, lakini wahusika wameendelea kuweka pamba masikioni na haijulikana kama wanahitaji kupigiwa ngoma ndipo wasikie au la.

 

11 years ago

Habarileo

Wataka mkurugenzi kuhamia makao makuu ya wilaya

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wamemwagiza Mkurugenzi wa halmashauri hiyo na wataalamu wake kuhakikisha anahamishia ofisi zake Matai ambako ni Makao Makuu ya wilaya mpya ifikapo Aprili mosi, mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

JKT Makao makuu mabingwa ngumi D’Salaam

Klabu ya Ngumi ya JKT Makao Makuu imeibuka mabingwa wa jumla wa michuano ya Mkoa wa Dar es Salaam iliyomalizika juzi usiku kwenye Ukumbi wa Pandani Pandani uliopo Bungoni Ilala, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani