RC alilia makao makuu yahamie Dodoma
NA THEODOS MGOMBA, DODOMA.
WAUMINI na viongozi wa dini mkoani hapa, wameombwa kuomba dua maalum ili azma ya serikali ya kuhamishia makao makuu Dodoma itimie.
Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi, alipokuwa akitoa salamu za mkoa kwenye mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa wanawake (UWT).
Mkuu huyo wa mkoa alisema ni vyema sasa kukawa na dua maalumu la kuombea uhamisho wa makao makuu kuwa Dodoma, kwani umekuwa wa muda mrefu sasa.
Alisema azma hiyo ya...
Uhuru Newspaper