Aanze rais kuhamia Makao Makuu Dodoma, wengine watafuata
Wasemaji wamesema, wadadavuaji wamedadavua, wapangaji wamepanga na bado jambo hili limeendelea kuwa hadithi. Serikali ya Tanzania iliamua kubadilisha makao makuu yake tangu mwaka 1976, sasa ni miaka 38, uamuzi huo bado haujatekelezwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 May
Rais Nyusi atembelea makao makuu ya CCM mjini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma.

Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

11 years ago
Habarileo22 Feb
Wataka mkurugenzi kuhamia makao makuu ya wilaya
MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wamemwagiza Mkurugenzi wa halmashauri hiyo na wataalamu wake kuhakikisha anahamishia ofisi zake Matai ambako ni Makao Makuu ya wilaya mpya ifikapo Aprili mosi, mwaka huu.
10 years ago
Vijimambo
RAIS FILIPE NYUSI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CCM MJINI DODOMA



5 years ago
Michuzi
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff kuhusu mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.

5 years ago
CCM Blog
RAIS DK. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KATIKA MJI WA SERIKALI, AFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA TARURA NA OFISI ZA ZIMAMOTO MAKOLE JIJINI DODOMA, LEO



10 years ago
Mwananchi15 Jan
Dodoma,makao makuu yasiyo na ukuu
11 years ago
Uhuru Newspaper08 Jul
RC alilia makao makuu yahamie Dodoma
NA THEODOS MGOMBA, DODOMA.
WAUMINI na viongozi wa dini mkoani hapa, wameombwa kuomba dua maalum ili azma ya serikali ya kuhamishia makao makuu Dodoma itimie.
Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi, alipokuwa akitoa salamu za mkoa kwenye mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa wanawake (UWT).
Mkuu huyo wa mkoa alisema ni vyema sasa kukawa na dua maalumu la kuombea uhamisho wa makao makuu kuwa Dodoma, kwani umekuwa wa muda mrefu sasa.
Alisema azma hiyo ya...
10 years ago
Habarileo03 Feb
Serikali yahimizwa kuhamishia makao makuu Dodoma
SERIKALI imesisitiza agizo lake la kusitisha ujenzi wa ofisi za wizara na taasisi zake katika jiji la Dar es Salaam badala yake uelekezwe mjini Dodoma, ikiwa ni hatua ya kuhamishia makao makuu mjini hapa.
11 years ago
Michuzi.jpg)
JK apokea ripoti ya Uendelezaji Makao Makuu Dodoma
.jpg)