Rais Nyusi atembelea makao makuu ya CCM mjini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma.

Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
RAIS FILIPE NYUSI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CCM MJINI DODOMA



9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MH. SELEMANI JAFO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF DODOMA
11 years ago
Michuzi
RAIS WA TFF,JAMAL MALIZI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA FIFA


11 years ago
GPL
RAIS WA TFF JAMAL MALINZI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA FIFA USWISS
Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamal Malinzi wakati alipomkaribisha kwenye Makao Makuu ya Shirikisho hilo, Uswiss. Kulia ni Katibu Mkuu wa FIFA, Bw. Jerome Valcke.
11 years ago
Mwananchi25 May
Aanze rais kuhamia Makao Makuu Dodoma, wengine watafuata
Wasemaji wamesema, wadadavuaji wamedadavua, wapangaji wamepanga na bado jambo hili limeendelea kuwa hadithi. Serikali ya Tanzania iliamua kubadilisha makao makuu yake tangu mwaka 1976, sasa ni miaka 38, uamuzi huo bado haujatekelezwa.
10 years ago
MichuziWAANDISHI WA HABARI WAPIGA KAMBI NDANI YA CCM MAKAO MAKUU, DODOMA
10 years ago
MichuziMAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALLY IDD ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NHC
10 years ago
Vijimambo
MEMBE ARUDISHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA LEO


10 years ago
VijimamboMAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR, BALOZI SEIF ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NHC JIJINI DAR ES SALAAM
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania