MEMBE ARUDISHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA LEO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Rajabu Ruhavi baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma jana kurudisha fomu za kuomba kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, baada ya kupata wadhamini wanaohitajika. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboLOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA NA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS
Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiongea katika...
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziWAZIRI MAGUFULI ARUDISHA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM MARA BAADA YA KUKAMILISHA ZOEZI LA KUPATA WADHAMINI
5 years ago
CCM BlogDK HUSSEIN MWINYI ARUDISHA FOMU YA KUOMBA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akiongea na wanahabari baada ya kurejesha fomu ya...
10 years ago
MichuziPINDA AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS MJINI DODOMA LEO
10 years ago
MichuziMGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA.
10 years ago
VijimamboMGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA.
10 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziWanasiasa watano wanatarajia kuchukua fomu ya kugombea urais mjini Dodoma leo
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Idara ya Oganezesheni Dr Mohamed Seif Khatibu akizungumza na Waandishi wa Habari makao makuu Dodoma kuhushu ratiba ya kuchukua fomu leo Wagombea Urais kupitia Chama hicho aliwataja kuwa ataanza Prof Mark Mwandosya ,Stephen Wasira,Edward Lowasa, balozi Amina Salumu Ali na Charles Makongoro Nyerere na Khatibu ndiye aliyepewa jukumu na Chama hicho kutoa fomu hizo.
Wanasiasa watano wanatarajia kuchukua fomu ya kugombea urais katika makao makuu ya chama cha...