Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS FILIPE NYUSI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CCM MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma. Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi akisalimiana na wanachama na wapenzi wa CCM waliojitokeza kumpokea na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Nyusi atembelea makao makuu ya CCM mjini Dodoma

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma.

 Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi akisalimiana na wanachama na wapenzi wa CCM waliojitokeza...

 

10 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MH. SELEMANI JAFO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF DODOMA

 Naibu waziri ofisi ya raisi tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani  Jafo akipata maelezo kutoka kwa kaimu meneja mafao wa LAPF Bw. Amani Sindato akionyeshwa mafaili ya wanachama wanaostaafu mwezi januari 2016 lakini wameshaandaliwa mafao yao. Naibu waziri ofisi ya raisi tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani  Jafo  akionyeshwa orodha ya wanachama wanaotarajia kustaafu miezi sita ijayo na Afisa mafao mwandamizi Bw. Franklin Boga. LAPF huwatambua wanachama hao mapema ili...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA TFF,JAMAL MALIZI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA FIFA

Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA),Sepp Blatter (kushoto) akisalimiana na Rais wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi wakati alipomkaribisa kwenye Makao Makuu ya Shirikisho hilo,nchini Uswiss.Kulia ni Katibu Mkuu wa FIFA, Bw. Jerome Valcke

 

11 years ago

GPL

RAIS WA TFF JAMAL MALINZI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA FIFA USWISS

Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA), Sepp Blatter (kushoto) akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamal Malinzi wakati alipomkaribisha kwenye Makao Makuu ya Shirikisho hilo, Uswiss. Kulia ni Katibu Mkuu wa FIFA, Bw. Jerome Valcke.

 

11 years ago

Mwananchi

Aanze rais kuhamia Makao Makuu Dodoma, wengine watafuata

Wasemaji wamesema, wadadavuaji wamedadavua, wapangaji wamepanga na bado jambo hili limeendelea kuwa hadithi. Serikali ya Tanzania iliamua kubadilisha makao makuu yake tangu mwaka 1976, sasa ni miaka 38, uamuzi huo bado haujatekelezwa.

 

10 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WAPIGA KAMBI NDANI YA CCM MAKAO MAKUU, DODOMA

Waandishi wa Vyombo mbali mbali vya habari nchini Tanzania walioweka kambi kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma kwa ajili ya kutoa taarifa za vikao mbali mbali vinavyopendelea ili kumpata mgombea Urais wa Mwaka 2015 kupitia chama hicho.

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALLY IDD ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NHC

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimuelekeza jambo Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd, ambaye alitembelea makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa kujua utekelezaji wa miradi ya Shirika hilo, anayeshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimuelekeza jambo Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani