Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FILIPE NYUSI ALIVYOIMBA PAMOJA NA WANA CCM MJINI DODOMA

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Vijimambo

RAIS FILIPE NYUSI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CCM MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma. Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi akisalimiana na wanachama na wapenzi wa CCM waliojitokeza kumpokea na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Nyusi atembelea makao makuu ya CCM mjini Dodoma

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma.

 Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi akisalimiana na wanachama na wapenzi wa CCM waliojitokeza...

 

11 years ago

Michuzi

Kinana azungumza na Filipe nyusi

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mgombea wa Urais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi kwenye hotel ya Golden Tulip ambapo alikuwa na mazungumzo naye .
 Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro ambaye pia ni Waziri wa Katiba na Sheria akisalimiana na Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Frelimo Mheshimiwa Filipe Jacinto Nyusi, kabla ya kuanza mazungumzo kwenye hoteli ya Golden Tulip.
 Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi...

 

10 years ago

Dewji Blog

MO akutana na Rais Filipe Nyusi wa Mozambique jijini Dar

IMG-20150518-WA0054

CEO wa Makampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji (kulia) katika picha ya pamoja na Rais wa Mozambique, Mh. Filipe Nyusi walipokutana jijini Dar es Salaam. Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama Rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu nchini Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA MSUMBIJI FILIPE JACINTO NYUSI APATA MAPOKEZI MAKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Kikwete akimpokea Rais Filipe Jacinto Nyusi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam . Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.Rais Filipe Jacinto Nyusi akipokea shada la maua baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam . Rais huyo anayefanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama rais wa Msumbiji yuko katika ziara rasmi ya siku tatu.Rais...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi kutua nchini Jumapili Mei 17 kwa ziara ya siku 3

filipe_nyusiRais Filipe Nyusi wa Msumbiji

Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi anatarajia kuwasili nchini Tanzania Mei 17 mwaka huu kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo pamoja na mambo mengine anatarajia kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.

Akitoa taarifa ya ziara hiyo leo jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecki Sadiki amesema kuwa Rais Filipe Nyusi atawasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius...

 

10 years ago

Michuzi

Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia kesho

Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi anatarajiwa kuwasili nchini kesho tarehe 17 Mei, 2015 kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu nchini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.Mhe. Rais Nyussi atapokelewa na mwenyeji wake Mhe. Rais Kikwete mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Mhe. Rais Nyusi atakagua Gwaride la Heshima na kupigiwa mizinga 21.

Baada ya mapokezi hayo, Mhe....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani