Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataka mkurugenzi kuhamia makao makuu ya wilaya

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wamemwagiza Mkurugenzi wa halmashauri hiyo na wataalamu wake kuhakikisha anahamishia ofisi zake Matai ambako ni Makao Makuu ya wilaya mpya ifikapo Aprili mosi, mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Aanze rais kuhamia Makao Makuu Dodoma, wengine watafuata

Wasemaji wamesema, wadadavuaji wamedadavua, wapangaji wamepanga na bado jambo hili limeendelea kuwa hadithi. Serikali ya Tanzania iliamua kubadilisha makao makuu yake tangu mwaka 1976, sasa ni miaka 38, uamuzi huo bado haujatekelezwa.

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Eng. Felchesmi Mramba akizungumzia mkutano wa Wafanyakazi makao makuu jijini Dar.

Mkurugenzi Mtendaji wa TANESC.Eng.Felchesmi Mramba akizungumzia mkutano wa Wafanyakazi wote wa jijini Dar na Pwani kupokea kombe la mshindi wa pili wa mpira wa miguu na mbio ndefu katika mashindano ya Mei mosi yaliyoyafanyika jijini Mwanza.Mkutano huo uliofanyika tarehe 29 Mei 2015 makao Makuu ya shirika hilo Ubungo Dar Es Salaam.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

RC alilia makao makuu yahamie Dodoma


NA THEODOS MGOMBA, DODOMA.
WAUMINI  na viongozi wa dini mkoani hapa, wameombwa kuomba dua maalum ili azma ya  serikali ya kuhamishia makao makuu  Dodoma itimie.
Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi, alipokuwa akitoa salamu za mkoa kwenye mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa wanawake (UWT).
Mkuu huyo wa mkoa alisema ni vyema sasa kukawa na dua maalumu la kuombea uhamisho wa makao makuu kuwa Dodoma, kwani umekuwa wa muda mrefu sasa.
Alisema azma hiyo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Dodoma,makao makuu yasiyo na ukuu

Sauti za watu zimeendelea kupazwa juu ya heshima ya mji wa Dodoma, kwa namna unavyokosa heshima na mvuto kama sehemu ya makao makuu, lakini wahusika wameendelea kuweka pamba masikioni na haijulikana kama wanahitaji kupigiwa ngoma ndipo wasikie au la.

 

10 years ago

Michuzi

FIFA KUBORESHA MAKAO MAKUU YA TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu duniani (FIFA) limeahidi kuboresha makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) yaliyoko kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala ili yawe katika kiwango cha kisasa ikiwa ni pamoja na kuwa na vitendea kazi na miundombinu ikiwa ni pamoja na upanuzi wa ofisi.
Hatua hiyo itaiwezesha TFF kuwa na mazingira bora ya kufanya shughuli zake kwa ufanisi.
Vilevile kupitia programu zake mbalimbali ikiwemo ile ya Goal, FIFA imeahidi kushirikiana na TFF...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa atikisa makao makuu ya CCM

MTZ jmosi new.inddLissu, Sumaye, Mnyika wamshambulia Warioba kwa unafiki

NA MAREGESI PAUL, DODOMA

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, jana alitikisa mji wa Dodoma ambao ni Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Tukio hilo lilitokea wakati wa mkutano wa kampeni za urais za mgombea huyo ambapo maelfu ya wananchi wa Dodoma walihudhuria mkutano huo uliofanyika katika Viwanja vya Barafu mjini hapa.

Kabla ya mkutano...

 

10 years ago

BBCSwahili

Pakistan yavamia makao makuu ya Upinzani

Wanajeshi wa angani wa Pakistan wametekeleza msako na shambulio lisilo la kawaida katika makao makuu ya chama kikuu mjini Karachi MQM

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yahimizwa kuhamishia makao makuu Dodoma

Agrey MwanriSERIKALI imesisitiza agizo lake la kusitisha ujenzi wa ofisi za wizara na taasisi zake katika jiji la Dar es Salaam badala yake uelekezwe mjini Dodoma, ikiwa ni hatua ya kuhamishia makao makuu mjini hapa.

 

5 years ago

Raia Mwema

Magufuli atakumbukwa kwa hili la makao makuu

MIAKA takriban 43 iliyopita chama kilichokuwa kinatawala Tanzania Bara kilichojulikana kama TANU

Mwandishi Wetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani