Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jenerali Mabeyo Azindua Makao Makuu ya JKT Chamwino Dodoma

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo akikata utepe kuzindua Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Wilayani Chamwino mkoani Dodoma leo Februari 26, 2020.
Na Frank MvungiMkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo amezindua Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.Akizungumza leo Februari 26, 2020 wakati akizundua makao makuu hayo Jenerali Mabeyo amesema kuwa, JKT imekuwa yakupigiwa mfano kwa utendaji unaotokana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JKT DODOMA,YAMPONGEZA MEJA JENERALI MBUGE

 Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (aliyenyoosha mkono) akimwelezea jambo Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge ( wapili kushoto) wakati wafanyakazi wa benki hiyo, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (wa kwanza kushoto) akimpongeza Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge (katikati) kwa kupandishwa cheo kuwa Mkuu wa JKT, wakati...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AKUTANA NA MAAFISA WAANDAMIZI WA MAGEREZA WALIOHAMISHIWA MAKAO MAKUU YA JESHI HILO DODOMA HIVI KARIBUNI



Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akizungumza katika kikao kazi na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza ambao wamehamishiwa hivi karibuni Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, jijini Dodoma. Kikao hicho kimefanyika leo Mei 19, 2020 kwa lengo la kupeana mikakati mbalimbali ya kazi sambamba na maelekezo ya utekelezaji wa mageuzi yanaendelea...

 

11 years ago

Mwananchi

JKT Makao makuu mabingwa ngumi D’Salaam

Klabu ya Ngumi ya JKT Makao Makuu imeibuka mabingwa wa jumla wa michuano ya Mkoa wa Dar es Salaam iliyomalizika juzi usiku kwenye Ukumbi wa Pandani Pandani uliopo Bungoni Ilala, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

RC alilia makao makuu yahamie Dodoma


NA THEODOS MGOMBA, DODOMA.
WAUMINI  na viongozi wa dini mkoani hapa, wameombwa kuomba dua maalum ili azma ya  serikali ya kuhamishia makao makuu  Dodoma itimie.
Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi, alipokuwa akitoa salamu za mkoa kwenye mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa wanawake (UWT).
Mkuu huyo wa mkoa alisema ni vyema sasa kukawa na dua maalumu la kuombea uhamisho wa makao makuu kuwa Dodoma, kwani umekuwa wa muda mrefu sasa.
Alisema azma hiyo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Dodoma,makao makuu yasiyo na ukuu

Sauti za watu zimeendelea kupazwa juu ya heshima ya mji wa Dodoma, kwa namna unavyokosa heshima na mvuto kama sehemu ya makao makuu, lakini wahusika wameendelea kuweka pamba masikioni na haijulikana kama wanahitaji kupigiwa ngoma ndipo wasikie au la.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yahimizwa kuhamishia makao makuu Dodoma

Agrey MwanriSERIKALI imesisitiza agizo lake la kusitisha ujenzi wa ofisi za wizara na taasisi zake katika jiji la Dar es Salaam badala yake uelekezwe mjini Dodoma, ikiwa ni hatua ya kuhamishia makao makuu mjini hapa.

 

11 years ago

Michuzi

JK apokea ripoti ya Uendelezaji Makao Makuu Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa Ustawishaji Mkao Makuu Dodoma (CDA) muda mfupi baada ya viongozi hao kuwasilisha taarifa ya mpango mpya wa uendelezaji mji Mkuu Dodoma kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu ndogo mjini Dodoma leo asubuhi.Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi, na wanne kushoto pemebeni ya Rais ni Kaimu Mkurugenzi mkuu CDA Mhandisi Ibrahim Ngwada. Picha na Freddy Maro

 

11 years ago

Mwananchi

Aanze rais kuhamia Makao Makuu Dodoma, wengine watafuata

Wasemaji wamesema, wadadavuaji wamedadavua, wapangaji wamepanga na bado jambo hili limeendelea kuwa hadithi. Serikali ya Tanzania iliamua kubadilisha makao makuu yake tangu mwaka 1976, sasa ni miaka 38, uamuzi huo bado haujatekelezwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Nyusi atembelea makao makuu ya CCM mjini Dodoma

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma.

 Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi akisalimiana na wanachama na wapenzi wa CCM waliojitokeza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani