Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar es Salaam yapangiwa siku 12 uandikishaji wapiga kura

>Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeweka hadharani ratiba nzima ya uandikishaji wapigakura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) huku mkoa wa Dar es Salaam ukipangiwa siku 12  tofauti na mwezi mmoja uliotumika katika mikoa mingine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Uandikishaji wapiga kura Dar es Salaam.

Tume ya taifa ya uchaguzi ya Tanzania, imeongeza muda wa uandikishaji wapiga kura jijini Dar es salaam kwa siku 4, mpaka Agost 4.

 

5 years ago

Michuzi

NEC yaongeza siku za uandikishaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura Dar

Na Chalila Kubuda, Globu ya Jamii .

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda wa uandikishaji katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa ya Dar es Salaam.

Muda uliongezwa kwa katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura ni siku tatu ambapo zoezi hilo litaitimishwa Februari 23, 2020.

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchanguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles amesema kuwa kusogezwa kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKAMILISHA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU MKOA WA DAR ES SALAAM KWA MAFANIKIO MAKUBWA


Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kukamilika kwa zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari la Kudumu kwa kutumia mfumo wa BVR Mkoani Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani zoezi hilio limefanikiwa kwa kiasi kikubwa licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali zilizojitokeza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uandikishaji daftari la wapiga kura bado

Tume ya uchaguzi nchini Tanzania imesogeza mbele tarehe ya kuzinduliwa kwa zoezi la uandikishaji daftari la wapiga kura

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda azindua uandikishaji daftari la wapiga kura

PG4A2681

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua  Uboreshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura  katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva na Katikati ni Katibu wa Tume hiyo, Ndugu Malaba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2711

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kazi ya uandikishaji wapiga kura baada ya kuzindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015. (Picha na Ofisi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

UANDIKISHAJI WAPIGA KURA: Vyama 22 vyaungana kuishukia NEC

>Vyama vya siasa nchini vimeibana Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wakitaka iweke wazi kama itaweza kukamilisha mchakato wa uandikishaji Daftari la Wapiga kura kabla ya Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJIJI LA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTALI LA WAPIGA KURA.

 Wananchi wajitokeza kujiandikisha katika Daftari la wapiga kura Kutoka kushoto ni Mzee Thomas Fulla akijiandikisha katika daftari la wapiga kura katika kituo  cha Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam leo, Kulia aliyekaa ni  Mwandikishaji msaidizi,Hawa Bushiri na Mwongozaji wa kutumia mashine za (BVR), Biometric Vote Registration Salimu Said. Mzee Thomas Fulla akijiandaa kupiga picha kwaajili ya kupata kitambulisho cha kumwezesha kupiga kura mwaka 2015,wakati wa kujiandikisha katika daftari...

 

10 years ago

StarTV

NEC yasogeza mbele uandikishaji wapiga kura hadi Feb 16.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es Salaam

 

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imesogeza wiki moja mbele ya kuanza zoezi la kuboresha Daftari la kudumu la wapiga kura ambalo awali lilipangwa kuanza Februari 16 na kwa mabadiliko hayo litaanza Februari 23 mwaka huu.

 

NEC imefanya mabadiliko haya baada ya shinikizo la muda mrefu kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa walioitaka tume hiyo kutoa muda zaidi wa kuzunguka nchi nzima kutoa elimu kwa wapiga kura ili waone umuhimu wa kujiandikisha.

 

Katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani